jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Acheni unafiki.Hivi hujajishtukia tu kua umegeuka kituko kwenye hii thd? udini unakutesa sana aisee,huu muda unaoutumia kupambana na jambo usiloliweza kwanini usiutumie kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha?
Mashoga wamepigwa ban,acha kukikimbia kimvuli chako,tunajua hasira zenu zinatokana na hilo tu.Mashoga wapigwe ban thats none of my business..sijawahi unga mkono mashoga...nacho chukia ni unafiki wa waarabu.
#MaendeleoHayanaChama
Kama wewe inshu zako ni mashoga sawa..endelea kuwafuatairia...wapigwe ban wasipigwe ban..maisha lazima yaendelee.Mashoga wamepigwa ban,acha kukikimbia kimvuli chako,tunajua hasira zenu zinatokana na hilo tu.
Sasa kipi kinacho kuwasha? kumbe hujui hata thd inahusu nini? kaa pembeni huna hoja.Kuna sehemu ni mesema waruhusu kunywa pombe uwanjani??mbona hujielewi.
#MaendeleoHayanaChama
Ina husu islamic world cup...au ulidhani inahusu nini??Sasa kipi kinacho kuwasha? kumbe hujui hata thd inahusu nini? kaa pembeni huna hoja.
Kama sina hoja kipi kinakuwasha kunijibu mimi ambaye sina hoja?Sasa kipi kinacho kuwasha? kumbe hujui hata thd inahusu nini? kaa pembeni huna hoja.
Ni utaratibu wa nchi yaoQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Nimekushauri kua huu muda unaoutumia hapa kutema pumba,ni bora uutumie kujifundisha kuandika kwa ufasaha lugha yako.Kama wewe inshu zako ni mashoga sawa..endelea kuwafuatairia..wapigwe ban wasipigwe ban..maisha lazima yaendelee.
#MaendeleoHayanaChama
We shoga unaumia baada ya kupigwa marufuku kufanya michezo yako kuleQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Dini gani inaruhusu hayo uliyoyataja?
Mashoga ni marufuku Qatar huo ndio ukweli mchungu msiotaka kuukubali,nakujibu ili huo ujinga wako usije ukaaminika na kuipotosha jamii.Kama sina hoja kipi kinakuwasha kunijibu mimi ambaye sina hoja?
#MaendeleoHayanaChama
Sawa mwalimu wa kiswahili...waambie bwana zako waarabu waache unafiki.Nimekushauri kua huu muda unaoutumia hapa kutema pumba,ni bora uutumie kujifundisha kuandika kwa ufasaha lugha yako.
Nimekwambia siungi mkono ushoga..au wewe basha nini mbona unakomalia ushoga wakati mambo mengi yanazungumziwa kuhusu Qatar.Mashoga ni marufuku Qatar huo ndio ukweli mchungu msiotaka kuukubali,nakujibu ili huo ujinga wako usije ukaaminika na kuipotosha jamii.
Unaandika vitu ambavyo hujui hata maana yake,unatia huruma aisee,udini unakutesa sana muimba kwaya.Nimekwambia siungi mkono ushoga..au wewe basha nini mbona unakomalia ushoga wakati mambo mengi yanazungumziwa kuhusu Qatar.
#MaendeleoHayanaChama
Mashoga hawaruhusiwi Qatar,fanyia huko huko ulipo.Sawa mwalimu wa kiswahili...waambie bwana zako waarabu waache unafiki.
#MaendeleoHayanaChama
Nakupuuza[emoji706][emoji706][emoji706]Mashoga hawaruhusiwi Qatar,fanyia huko huko ulipo.
Qatar wamewapuuza hawataki machoko kwenye nchi yao.Nakupuuza[emoji706][emoji706][emoji706]
#MaendeleoHayanaChama