kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Acha ujinga wewe. Kama hivyo si mngeanzisha world cup yenu mchezaji lazima awe na udhu na midevu.Makafir wanaumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe. Kama hivyo si mngeanzisha world cup yenu mchezaji lazima awe na udhu na midevu.Makafir wanaumia
"Ina husu" hili neno mbona halipo katika uandishi wa lugha ya kiswahili?Ina husu islamic world cup...au ulidhani inahusu nini??
#MaendeleoHayanaChama
Wewe ngumbaru jifunze kusoma kwa ufahamu na acha logical non sequitur.Umeanza kuamini uwepo wa Dini na uwepo wa Mungu toka lini? najua utakuja kujishaua hapa ila umeshajulikana,ukweli hua haujifichi siku zote.
Ulimwengu wa Kiislamu kama kawaida haujielewi unataka nini.Kitendo cha kufanikiwa kuingiza World Cup Qatar ni Pigo kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Kiislamu
Hujajibu swali.Kiburi Cha uzima ndo kinatufanya kuwa faithless Hadi kukosa Hekima!
Kwani wote wanaoenda Qatar wana dini?
Waarabu hawataki ushoga ila wanafirana balaa, pengine tu hawajui maana ya ushoga.Kajifundishe kuandika kwanza ila mashoga wamepigwa marufuku Qatar, makasiriko yako hayawezi kubadili chochote, kaa kwa kutulia.
Aisifuye mvua jua imenyeshea,pole sana kwa yaliyokukuta.Waarabu hawataki ushoga ila wanafirana balaa, pengine tu hawajui maana ya ushoga.
Unajishaua tu kwa upuuzi na kuandika matapishi ila ulisha someka,au ulijisahau? ndio maana umetema povu hapa kama mgonjwa wa kifafa,kwa kawaida ukweli hua unauma,sikushangai.Wewe ngumbaru jifunze kusoma kwa ufahamu na acha logical non sequitur.
Nikisema umevaa kibwaya kama cha Kipepe hapo maana yake naamini mtu anayeitwa Kipepe yupo?
Blood claat nincompoop.
Nimejulikana nini, vipi, wapi, kwa maneno gani? Kwa mantiki gani?Unajishaua tu kwa upuuzi na kuandika matapishi ila ulisha someka,au ulijisahau? ndio maana umetema povu hapa kama mgonjwa wa kifafa,kwa kawaida ukweli hua unauma,sikushangai.
Na wewe kaanzishe World cup ya mashoga,wao wamekataa ushoga,hili povu halitobadili kitu,World cup ya Qatar hawataki ushoga kwenye nchi yao,kila nchi ina taratibu zake na sheria zake na unapoenda kwenye nchi za wenzako ni lazima ufuate taratibu na kanuni zao.Hawa wangese waandae world cup yao waweke warabu wenzao
Wewe umejenga hoja gani? acha kurukaruka kama Kangaroo,hivyo viswali vyako vya kipuuzi kawaulize wenzako wa level yako.Nimejulikana nini, vipi, wapi, kwa maneno gani? Kwa mantiki gani?
Jenga hoja, acha viroja.
Nimekupa nafasi ya kujieleza na kuthibitisha madai yako, umeshindwa.Wewe umejenga hoja gani? acha kurukaruka kama Kangaroo,hivyo viswali vyako vya kipuuzi kawaulize wenzako wa level yako.