World Islamic Cup, 2022 Qatar

Akitoka huko aende China [emoji630]

Ova
Bora akamatwe na dawa za kulevya China sio kwenda na uchochezi wake maana yeye kila alipo wanamfungia tuu, China watamuua tuu.
 
Bora akamatwe na dawa za kulevya China sio kwenda na uchochezi wake maana yeye kila alipo wanamfungia tuu, China watamuua tuu.
Fuatilia mijadala yake youtube andika Dr Zakir Naik tu inatosha utajua nini hasa Dr Zakir anaongelea otherwise utakuwa muoga kuhofia Imani yako ambayo ulirithi tu kwa babu zak, msikilize kwnza kabla ya kumpeleka China
 
Wewe yako uliirithi kutoka kwenye monsoon wind kipindi waarabu wanavamia na majambia.
 
Waarabu kuhubiri chuki ni jadi yao huku wao wenyewe wakiwa wachafu kwelikweli.
 
Ishu yoyote ikishajishughulisha na IMANI za KIDINI nenda nayo kwa hekima kubwa.. Maana hakuna watu waliochanganyikiwa kama waamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…