Nilimfuatilia nikagundua ni kilaza mmoja mpaka nikashangaa anapataje wasikilizaji, au kiingilio ni uwe hujasoma?Usipate shida anza kumfuatilia Youtube Andika Dr. Zakir Naik ufuatilie mijadala yake na japo kwa nusu saa kila siku utapata mwanga wapi amesomea lakini hasa Dr Zakir ni nani na anaongelea juu ya nini na elimu yake hasa ana uwezo gani
Hahahahah dah, nlishangaa medical doctor hajui hata basic biology ya form 2Huyu jamaa ni qualified Medical Doctor
Muarabu kujenga barabara ya Kibiti ndiyo hoja?Muarabu ndo kakujengea barabara ya Kibiti
Dini yangu dini gani wewe sunguratope usiyeweza kujua kitu zaidi ya 0 na 1 ?Naona mwamba umeamua kuitetea dini yako wazi wazi
Huyu kilaza tu anazidiwa mbali Sana na Dr slaa yeye anazungumza lugha Saba Kwa ufasaha kabisa[emoji3][emoji3]Anazungumza 5 different languages,
In addition, anazungumza 5 different languages, amefanya more than 700 public speaking, Mtunzi wa Vitabu kibao, a qualified doctor
Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombeka
Kwahiyo wewe ulitafiti ndio maana ukasema wanaongoza?
Na ni tabia ya mtu anayehonga kuharibu utaratibu, kwa sababu anaona yeye kashahonga ana haki ya kuharibu utaratibu.Hawa jamaa walihonga kupata hii nafasi
Viwanjani kuna matangazo ya pombe hii ina maana gani?Kajifundishe kuandika kwanza ila mashoga wamepigwa marufuku Qatar,makasiriko yako hayawezi kubadili chochote,kaa kwa kutulia.
Acha ujinga wewe. Kama hivyo si mngeanzisha world cup yenu mchezaji lazima awe na udhu na midevu.
Ulimwengu wa Kiislamu kama kawaida haujielewi unataka nini.
Kama DNI ya kweli ndio Muslim Bora niende motoni lkni sio kua Muslim.sababu najua dini yao ni ya mchongo na maigizo tu .
Waarabu hawataki ushoga ila wanafirana balaa, pengine tu hawajui maana ya ushoga.
Aisifuye mvua jua imenyeshea,pole sana kwa yaliyokukuta.
Wanafiki Sana hawa watu, wanakesha wanafumuana marinda halafu wanajidai kuzuia wageni kunywa pombe, hypocrites
Kosa liko kukubali halamu moja na kukataa halamu nyingine.
Mpira wa miguu ni haramu kwa mujibu wa dini ya haki.
Vivulana na visichana vicheza mpira kwa kuvaa vibukta tu na kuonesha vipaja vyao hadharani ni Haramu kubwa sana mbele ya Mtume.