Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Nilimfuatilia nikagundua ni kilaza mmoja mpaka nikashangaa anapataje wasikilizaji, au kiingilio ni uwe hujasoma?Usipate shida anza kumfuatilia Youtube Andika Dr. Zakir Naik ufuatilie mijadala yake na japo kwa nusu saa kila siku utapata mwanga wapi amesomea lakini hasa Dr Zakir ni nani na anaongelea juu ya nini na elimu yake hasa ana uwezo gani