World Islamic Cup, 2022 Qatar

World Islamic Cup, 2022 Qatar

Usipate shida anza kumfuatilia Youtube Andika Dr. Zakir Naik ufuatilie mijadala yake na japo kwa nusu saa kila siku utapata mwanga wapi amesomea lakini hasa Dr Zakir ni nani na anaongelea juu ya nini na elimu yake hasa ana uwezo gani
Nilimfuatilia nikagundua ni kilaza mmoja mpaka nikashangaa anapataje wasikilizaji, au kiingilio ni uwe hujasoma?
 
Naona mwamba umeamua kuitetea dini yako wazi wazi
Dini yangu dini gani wewe sunguratope usiyeweza kujua kitu zaidi ya 0 na 1 ?

Are you creating a false dichotomy kwamba mtu akionesha udhaifu wa maamuzi ya nchi za kiarabu, basi lazima atakuwa ni mtu wa dini fulani?

Huoni kwamba huu ni uharisho wa kimawazo?
 
Sipati picha kama ingekuwa vice versa .. nchi za kizungu ndo zingekataza ulevi na ushoga halafu nchi za kiarabu zingehimiza....

Bravo Qatar kuonyesha dunia kupitia world cup the real practices ....
No matter hata wasizipe nchi za kiarabu fursa ya kuandaa ..

Mbona Muslim kibao ULAYA wanakataa kuvaa jezi za matangazo ya pombe na betting....

Waliotembelea nchi za kiarabu ndo wanaojua real life za huko...achana na propaganda za westen Media
 
Ndugu ulishawahi pigwa na hao waarabu????
Huo ni unafiki wa kidini, hao wazee wa mashuka vichwani ndio wanaongoza kwa dhambi ya Sodoma na Gomorrah. Ndio wanaopandisha bei ya mihadarati na utalii wao wa nje ya nchi ni wa kupombeka
 
Hawa jamaa walihonga kupata hii nafasi
 
Hawa jamaa walihonga kupata hii nafasi
Na ni tabia ya mtu anayehonga kuharibu utaratibu, kwa sababu anaona yeye kashahonga ana haki ya kuharibu utaratibu.


Na bado kuna habari wanahonga mpaka kwenye mechi, ili washinde.

Kuna habari kwamba wamewahonga wa Ecuador.

 
Halamu ndyo nn we nguchiro??????
Kosa liko kukubali halamu moja na kukataa halamu nyingine.

Mpira wa miguu ni haramu kwa mujibu wa dini ya haki.

Vivulana na visichana vicheza mpira kwa kuvaa vibukta tu na kuonesha vipaja vyao hadharani ni Haramu kubwa sana mbele ya Mtume.
 
Back
Top Bottom