Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
We una au Aya Hadithi ya kuhalalisha mchezo wa mpira wa miguu ?
Ambao watu wanaucheza wakiwa Uchi kutokana na Dini ya haki.
Akili na mali wamenizidi vipi? Thibitisha.Hao wasiojielewa wamekuzid akili mpaka mali
Akili na mali wamenizidi vipi? Thibitisha.
Kauli yako tu inaonesha hata wewe hujielewi.
Kwa sababu, mali mtu anaweza kupata hata kwa bahati nasibu tu.
Ulimbukeni wako ndiyo unakufanya utaje mali kama hoja hapa.
Wewe una tabia za kimasikini za kuabudu mali, hizi tabia ni za watu limbukeni wasioweza kufikiri sana.
Akili na mali wamenizidi vipi? Thibitisha.
Kauli yako tu inaonesha hata wewe hujielewi.
Kwa sababu, mali mtu anaweza kupata hata kwa bahati nasibu tu.
Ulimbukeni wako ndiyo unakufanya utaje mali kama hoja hapa.
Wewe una tabia za kimasikini za kuabudu mali, hizi tabia ni za watu limbukeni wasioweza kufikiri sana.
Kwa hiyo umekubali kwamba kuongelea mali ni ushamba au siyo?Mfumo wa elimu ni bora pia hata maisha yao kamwe hamtoyafikia mpaka mwisho wa maisha yako na ukoo wako
Nilisimuliwa na mumeoNdugu ulishawahi pigwa na hao waarabu????
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri?We kapuku endelea na ukapuku wako,mpira bila machoko inawezekana
Naona unapenda sana kukata vichwa vya viumbe wa mwenyezi.Ucrukeruke kama kuku aliyekatwa kichwa toa hilo andiko linaloharamisha mpira????
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri?
You don't have the wattage to engage me, you are an angry, frustrated and inarticulate illiterate.
Nilisimuliwa na mumeo
Kwa hiyo umekubali kwamba kuongelea mali ni ushamba au siyo?
Wewe umeshindwa hata kutoka kwenye chaka la collectivism.
Kwa mfano, unapoongelea "maisha yao" unamaanisha maisha ya nani na unaposema "hamtayafikia" unamaanisha nani?
Kwa nini unanilundika mimi na ukoo wangu? Huoni kwamba unafikiri kijima bado?
Unajuaje huyu choko na huyu si choko wakati watu wanafanya hayo mambo faraghani?Matatizo yako hayawezi kuwa yangu, ila msisitizo mpira bila machoko inawezekana
Naona unapenda sana kukata vichwa vya viumbe wa mwenyezi.
πππππKwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Unajuaje huyu choko na huyu si choko wakati watu wanafanya hayo mambo faraghani?
Wewe bado hujavuka maisha ya collectivism.Ww na ukoo wako na jamii yako kiujumla,kamwe hamtofikia level ya Waqatar
Kitimoto si ni chakula chetu sote.Nadhan ww unakata miguu,kwa mnavyomfanya yule kitimoto mnapotaka kumla hakika mtapewa adhabu stahiki
Hii makala imechambua vizuri hoja yako, na kuelezea mizani ya kuzingatia.Ukienda nyumbani kwa mtu sharti kufuata matakwa ya mwenyeji wako.
Kama kuna kosa walifanya wazungu basi ni kuwapa uwenyeji jamii ya hawa watu huku wakijua fika huwa wana matatizo sana hasa ya kiitikadi.
Ondoa upumbafu wakoQatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?