World Islamic Cup, 2022 Qatar

World Islamic Cup, 2022 Qatar

Hao wasiojielewa wamekuzid akili mpaka mali
Akili na mali wamenizidi vipi? Thibitisha.

Kauli yako tu inaonesha hata wewe hujielewi.

Kwa sababu, mali mtu anaweza kupata hata kwa bahati nasibu tu.

Ulimbukeni wako ndiyo unakufanya utaje mali kama hoja hapa.

Wewe una tabia za kimasikini za kuabudu mali, hizi tabia ni za watu limbukeni wasioweza kufikiri sana.
 
Mfumo wa elimu ni bora pia hata maisha yao kamwe hamtoyafikia mpaka mwisho wa maisha yako na ukoo wako

We kapuku endelea na ukapuku wako,mpira bila machoko inawezekana
Akili na mali wamenizidi vipi? Thibitisha.

Kauli yako tu inaonesha hata wewe hujielewi.

Kwa sababu, mali mtu anaweza kupata hata kwa bahati nasibu tu.

Ulimbukeni wako ndiyo unakufanya utaje mali kama hoja hapa.

Wewe una tabia za kimasikini za kuabudu mali, hizi tabia ni za watu limbukeni wasioweza kufikiri sana.
 
Mfumo wa elimu ni bora pia hata maisha yao kamwe hamtoyafikia mpaka mwisho wa maisha yako na ukoo wako
Kwa hiyo umekubali kwamba kuongelea mali ni ushamba au siyo?

Wewe umeshindwa hata kutoka kwenye chaka la collectivism.

Kwa mfano, unapoongelea "maisha yao" unamaanisha maisha ya nani na unaposema "hamtayafikia" unamaanisha nani?

Kwa nini unanilundika mimi na ukoo wangu? Huoni kwamba unafikiri kijima bado?
 
Matatizo yako hayawezi kuwa yangu, ila msisitizo mpira bila machoko inawezekana
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri?

You don't have the wattage to engage me, you are an angry, frustrated and inarticulate illiterate.
 
Ww na ukoo wako na jamii yako kiujumla,kamwe hamtofikia level ya Waqatar
Kwa hiyo umekubali kwamba kuongelea mali ni ushamba au siyo?

Wewe umeshindwa hata kutoka kwenye chaka la collectivism.

Kwa mfano, unapoongelea "maisha yao" unamaanisha maisha ya nani na unaposema "hamtayafikia" unamaanisha nani?

Kwa nini unanilundika mimi na ukoo wangu? Huoni kwamba unafikiri kijima bado?
 
Ukienda nyumbani kwa mtu sharti kufuata matakwa ya mwenyeji wako.

Kama kuna kosa walifanya wazungu basi ni kuwapa uwenyeji jamii ya hawa watu huku wakijua fika huwa wana matatizo sana hasa ya kiitikadi.
 
Ww na ukoo wako na jamii yako kiujumla,kamwe hamtofikia level ya Waqatar
Wewe bado hujavuka maisha ya collectivism.

Wewe ni mjima. Mjima ngumbaru.

Mjima ngumbaru limbukeni.

Ukoo wangu huujui. Maisha yangu huyajui.

Unalazimisha tu mambo.

Nikirudi ku entertain ungumbaru wako with facts and figures, because you can't even do that...

Qatar's GDP per capita is 61,276.00 USD (2021)

I am waay past that. That is poverty to me.
 
Ukienda nyumbani kwa mtu sharti kufuata matakwa ya mwenyeji wako.

Kama kuna kosa walifanya wazungu basi ni kuwapa uwenyeji jamii ya hawa watu huku wakijua fika huwa wana matatizo sana hasa ya kiitikadi.
Hii makala imechambua vizuri hoja yako, na kuelezea mizani ya kuzingatia.

Los Angeles Times: Qatar walks tightrope between Arab values and Western norms with World Cup gamble.
 
Back
Top Bottom