Ukitaka kusikiliza mjaadala wa kisayansi masuala ya imani , basi mfualie na kumsikiliza...
Ni uchambuzi wa hoja kitafiti na ulinganifu....
Mtu ambaye ni OPEN MINDS atamsikiliza bila kujali imani yake....haongei kwa kupaza sauti.
Ila kama hayafanani na ulichokuwa unelishwa tangu utotoni, huyu jamaa utamchukia. Na hata ukiulzwa hasa ni kwanini unamchukua 100 % hutakiwa na jibu zaidi ya hisia..
All facts anazitoa ktk vitabu tegemewa ktk imani za dini kuu za kiislamu, ukristo na ubudha na anamwaalka mbobezi yoyote ktk maeneo hayo katika mjadala wa wazi ambapo ni approach sahihi kwa karne hizi za kutoficha mambo kwa wengi.
mijadala yake hakuna kutukanana wala kebehi bali kwa kuheshimiana kama tulivozea mihadhara ya huku kwetu.
Sasa kama mijadala ya wazi katika masuala tata ya maisha kwa maeneo mengine kama haki za binadamu, demokrasia , uhuru wa vyombo vya habari, haki za wanawake, haki ya hewa na dunia etc..etc .etc.. yanafanyika na kukubaliwa kwani mijadala ktk facts za imani na vitabu vya imani ni tatizo , hatakiwi, ni ugaidi, ni kubambikizwa kesi.