Angefanya ingeandikwaila unaamini yesu hakufanya mapenzi kwa kuwa haijaandikwa?
Nikikuambia kuwa yesu hajawahi kwenda chooni utakubali?
Muhammad angetahiriwa ingeandikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angefanya ingeandikwaila unaamini yesu hakufanya mapenzi kwa kuwa haijaandikwa?
Nikikuambia kuwa yesu hajawahi kwenda chooni utakubali?
Angefanya ingeandikwa
Muhammad angetahiriwa ingeandikwa
Tunaongelea agano , kunya ni wapi iliwahi kuwa ni aganoSawa Sasa nipe aya yesu aliingia chooni kunya
Tunaongelea agano , kunya ni wapi iliwahi kuwa ni agano
Tunaongelea agano , kunya ni wapi iliwahi kuwa ni agano
Agano ni kitu tofauti, agano la Abraham halipo kwa MuhammadIla unaamini kuwa yesu alikuwa anakunya japo hakuna aya katika biblia kuwa yesu alikuwa anakunya.
Ila kutahiriwa kwa Muhammad hauamini sababu hakuna aya.
Ni ajabu kabisa.
Agano ni kitu tofauti, agano la Abraham halipo kwa Muhammad
Mifano Yako Haina mashiko
Unataka kusema Muhammad aliiga andiko na wala hakujua maana yake , yeye akaamua kuwa goviUnasema kutahiriwa ni agano.
Nikikwambia paulo anampinga Mungu wenu UTABISHA?
Yeye anasema kutahiriwa si KITU.wewe unasema kutahiriwa ni agano.NANI MKWELI?View attachment 2434765
Unataka kusema Muhammad aliiga andiko na wala hakujua maana yake , yeye akaamua kuwa govi
Kasome commentary ya verse , ndio maana nimekwambia Muhammad alisoma apo hakuelewa akaamua kuwa goviWewe umesema kutahiriwa ni agano.paulo anasema kutahiriwa SI KITU KATI YA WEWE NA PAULO NANI MKWELI?View attachment 2434773
Kasome commentary ya verse , ndio maana nimekwambia Muhammad alisoma apo hakuelewa akaamua kuwa govi
Aya haisomwi kama chiriku Kwa kukariri unatakiwa ujue Kwa Nini Paul aliandika hivyo na alikuwa anaongea na watu ganiMimi nimeweka aya.hicho unachokiita wewe commentary ya verse ndo kitu gani.nani MKWELI Kati yako na Paulo?View attachment 2434804
Aya haisomwi kama chiriku Kwa kukariri unatakiwa ujue Kwa Nini Paul aliandika hivyo na alikuwa anaongea na watu gani
Ata usomaji wa Koran unakitu kinaitwa asbab Al nuzul
Mpaka sasa hujajibu kwa Nini Muhammad hakutairiwa
Muhammad Kwanini hakutairiwa?
Unaulizaje swali wakati swali langu hujajibu? Swala la kutahiriwa ndio itatupa jibu Muhammad ni abrahamic au la , kwamba kaiba tu maandiko ya waisrael kafanya yake kafanya uizi wa kazi plagiarismWewe nimekuuliza Kuna aya yesu aliingia chooni kunya?umejibu?
Unaulizaje swali wakati swali langu hujajibu? Swala la kutahiriwa ndio itatupa jibu Muhammad ni abrahamic au la , kwamba kaiba tu maandiko ya waisrael kafanya yake kafanya uizi wa kazi plagiarism
Kwa hiyo Allah hakuna faragha kwa Abraham akatuhadithia mpaka amejitairi na shoka ,akaona faragha ni Kwa muhammadNilishakwambia kutahiriwa ni faragha ya mtu .na pia haiwezekani mtume wa Mungu kuacha kutahiriwa.pia kutahiriwa ni Mila na tamaduni ya waarabu.na Muhammad alikuwa mwarabu.hilo
Kwa hiyo Allah hakuna faragha kwa Abraham akatuhadithia mpaka amejitairi na shoka ,akaona faragha ni Kwa muhammad
Wewe jibu Kwa Nini Muhammad hakutairiwa? Je ni agano la govi Kati yake na Allah au?
Kwenye biblia hakuna nabii adamHaya nipe aya nabii Adam wa kwenye biblia alitahiriwa.alitahiriwa na Nani?