Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #81
Waarabu wa Kwa Mtogolea wameziba masikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wa Kwa Mtogolea wameziba masikio
Wahuni wawili wakifukuzana. Mmoja teja wa pombe mwingine teja wa unga
SureView attachment 2444711
A football lesson. Argentina versus Netherlands in the penalty kicks. The Argentina goalkeeper, Martinez, (in red) saved two penalties which gave them an edge in the game. Then an Argentina player, Lautaro Martinez, scored the winning penalty.
All players rushed to congratulate Lautaro for winning them the match. All but one player. Lionel Messi. The Captain. The Leader. He realized if it wasn't for the goalkeeper they wouldn't have won. Messi rushed to celebrate with the goalkeeper. There's a Management lesson somewhere there.
Hapa nimewakosa Gheorge Haghi na Krasimil Barakov kwa kweli michuano hiyo ilifana sana hapo dunia ndo ilikuwa inatambulishwa transformation ya American football to soccer. Michuano hiyo ndo tunamuona Donavan na Lalas wakiwa wa moto sana
Hapo ikiwa kumbukumbu zangu zipo sawa the lions wanacheza bila Paul Gascoigne na Paul Ince alicheza mechi hiyo akiwa analia na kutoa machozi mwanzo mwisho
Kumbukumbu mujjarab, hivi huyu mwamba walikutana na Edgar David's (pitbull) uwanjani!? Pmj na clearance
Croatia walikuwa na huyo Turkey walikuwa na Hakan SukarDivorce Suker
View attachment 2444775
SanaNimemuona nabii na mtume wa mwisho wa kandanda aliyeletwa duniani kutupunguzia stress.
Ambao hawakumuona huyu mwamba akiwa kwenye peak ya uwezo wake watulie hivyohivyo.
Kempes alikuwa anapendeza sana na zile jezi zake zenye rangi nyingi nyingi ingekuwa miaka ya leo tungesema nae ni miongoni mwa wanaume walioleft 😂😂😂
Kikosi hicho akina Naybet, Chipo na Hadji ndo walikuwa maarufu
Soka ilikuwa imani kali kuliko diniHapo ikiwa kumbukumbu zangu zipo sawa the lions wanacheza bila Paul Gascoigne na Paul Ince alicheza mechi hiyo akiwa analia na kutoa machozi mwanzo mwisho
Soka kipindi hicho ilikuwa ni burudani tosha
Mzee alikuwa fundi sana, waliomshuhudia walifaidi mnooTafuta 'clips' Za Pele pia Ujikumbushe..!
Nafikiri unaweza kuja Na Bandiko Lingine..!
Mwamba wa kifaransa
Nurdin alikuwa derpotivo nakumbuka waliwapiga man uKikosi hicho akina Naybet, Chipo na Hadji ndo walikuwa maarufu