Wosia wa Ballali kuwaumbua wengi!

Wosia wa Ballali kuwaumbua wengi!

Mkuu Mtanzania,always articulate,argumentantive,logical,sensible and reflective...unfortunately this is Tanzania!...ni mchezo ambao viongozi wetu wakuu wameuzoea tangu miaka hiyo na hawawezi kuuacha...
 
Mkuu FMES,

Hakuna haja ya kuendelea kubishana juu ya hili.

Hao walio na hizo video au tapes watuletee vinginevyo wafunge midomo yao maana tumechoka kudanganywa na hizo zinazoitwa data za Ballali. Toka mwaka jana wanasema data zinakuja lakini mpaka sasa sijaona hata kitu kimoja cha Ballali ambacho kimeletwa kwenye public attention.

Ndio maana mimi naamini ni yale yale ya kutudanganya. Nitaandika zaidi mambo ya Ballali
zikiisha arobaini toka kutoroka kwake. Wakati huo watakuwa hawana kisingizio tena cha kuendelea kutokutoa hizo kanda kama kweli wanazo.

Mimi naamini hakuna hizo kanda na hizi leakes zote ni ile ile strategy ambayo waliianza toka mwezi wa nane mwaka jana kuanzia kule Dodoma ambako bila hata aibu akalidanganya bunge
ili kuficha ujambazi wake.

Mtanzania,

Hizi video utazisubiria hadi mwaka 2100, hakuna cha video wala nini. Haya ya Ballali ni na video ni uongo tu na hakuna chochote kitakachokuja hapa. Mimi nawashauri watu ku-move on na kuachana na haya ya Ballali na kuanza kujenga nchi yetu.
 
Hivi huu wosia haujataja nani na nani wanatakiwa kurithi mali za Marehemu Bilalli?

Asha
 
Former Bank of Tanzania Governor Daudi Ballali left a secret will detailing how the External Payment Arrears account was looted and how other scandals involving the bank were planned and executed during his tenure, The Guardian on Sunday has learnt.

The damning evidence has surfaced nearly one year after Dr Ballali died controversially in the United State, after nine months of suffering from an undisclosed illness.

To his family and close friends, he was a man of honour whose career was ruined by crooked politicians who manipulated him to their personal gain, while to his critics, Dr Ballali was the chief architect of what would become known as the EPA scam.

Dr Ballali was buried in Washington DC on May 23, 2008, at a private funeral arrangement supervised by the De Vol Funeral Home.

Mourners from different parts of the world sent in condolence messages through a guestbook posted in the De Vol Funeral Home website.

Dr Ballali, who was fired as Tanzania`s central bank governor in January 2008 amid the EPA allegations, had died a week earlier, on May 16, in a Boston, Massachusetts hospital.

According to family sources in London and Washington, the late Dr. Ballali reached the decision to draft his last will and testimony after realising that he was being duped by powerful corrupt individuals from the third phase regime, who were using the election campaign as a shield to loot public funds.
The individuals who have been named in connection to the EPA scam, BoT twin towers and other graft scandals promised the late Governor protection but failed to do so in the face of mounting public pressure and President Kikwete’s firm stance on the war against corruption.

``He finally established that they had used him for their personal interests but failed to defend his image…he died a very disappointed man,`` said one family member who requested anonymity for fear of retribution.

The source, who travels frequently between London and Washington for business activities, said, ``Having been irked by the way his image was being tarnished Mzee (Ballali) decided to write a very damning dossier which he left as a will.``

``That dossier was critically vetted and edited by both local and international legal experts before he signed it…It has concrete evidence on who planned EPA and the motive behind that scandal,`` the family member said.

According to the source, the damning document is currently being kept in what was described as ‘safe custody’ in London and Washington.

``We can`t release it so far because there were certain conditions that Mzee (Ballali) issued before his death…That it should be released if his enemies continue to implicate him in the EPA and other scams that rocked the BoT,`` the source said.

``It is toxic evidence on everything that took place during his service - well-detailed and backed with concrete evidence.``

In the will, the source said, the late Ballali narrated how he was under pressure from some top officials within the third phase regime to release billions of shillings to a prominent MP from the Lake Zone regions who claimed that the monies were to be used to finance political activities in 2005.

According to the dossier, Dr Ballali finally succumbed to the pressure and agreed to authorise the looting of billions from the dormant EPA account, which held billions of shillings.

``They promised him strong protection…some claimed that since he was helping their side to win, no one would touch him, but they finally duped him,`` the family member said.

Since his controversial death last May, some EPA suspects and intelligence officials have struggled unsuccessfully to obtain the dossier.

``We can`t release it for now but if they continue to attack or associate him with what transpired, then we shall leak it to the local and international media so that Tanzanians and the world get to know the truth,`` the source added.

Dr Ballali’s role in the scandal resurfaced recently when a key witness named him before the court as the one who authorised the EPA payments.

Some local retired politicians and lawyers told The Guardian on Sunday they were aware of the will, though they denied having seen its contents.

At least two prominent lawyers confirmed that Dr Ballali had left a written will that explained his role during the 2005 EPA scam, which has become synonymous with Kikwete`s ramped up efforts to fight grand corruption over the past two years.

``He died with a top secret in his heart but at least he remembered to put what he knew in writing…So far he is a dead man and let’s forget him,`` a senior prominent lawyer told The Guardian on Sunday.
 
Msanii namba moja, anadai kanyweshwa sumu bado hawataji wabaya wake, kauwa bado kimya, kachafuliwa na kila gazeti na kwenye mahakama bado dossier yake eti anasuburi muda muafaka.

Usanii wa Ballali umezidi kiwango, kawasaliti Watanzania kwa kujiingiza kwenye corruption ya ajabu kwa kushirikiana na majambazi ya nchi yetu, leo hii bado ndugu zake wanajaribu ku manipulate Watanzania ili eti wamsafishe, nosense!

Mwache yeye aendelee kufaidi mapesa aliyowaibia maskini huko kwenye visiwa alikojichimbia. Inasikitisha sana!

Nahisi hii habari ina uhusiano na vita kati ya mapapa na manyangumi. Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu hiyo dossier, ukweli ni kwamba haipo na mambo yote yanayosemwa ni juhudi hiyo hiyo ya kuwafanyia usanii Watanzania. Hii dossier inatumika kama propaganda kila muda ukiwa muafaka kwa wale wanaojifanya walikuwa karibu na Ballali.. Swali langu ni lile lile ilivuja report ya EPA eti ndio iwe dossier ya Ballali?
 
Mkuu, inamaana hajafa???. hata mimi nina shaka kama hiyo dossier ipo na hata kama ipo kama alificha uhalifu naye ni mharifu, ila cha kujiuliza huu usanii, kwa nini tume iliyoundwa kuchunguza EPA haikumfata Ballali aliko maana ndo alikuwa mtuhumiwa namba moja, kuna siri kubwa, lakini kuna siku ukweli utajulikana tu.
 
Dossier ipo na imejaa tele kama pishi la mchele.... wala usiwe na wasiwasi. Kuna siku utaiona. Au inakuweka "kiroho juu" nini? Usiogope ni wewe tu ambaye hukutajwa kwenye hiyo dossier.
 
Freetown,

Huyo jamaa walizika gogo na kwasababu serikali haimtafuti basi ataendelea
kufaidi maisha yake huko visiwani.

Hao wachunguzi wa EPA kazi yao kubwa si ilikuwa kumlinda JK asipakazwe na hilo tope la ufisadi? Hawakutaka kuchambua kule ambako kungeonyesha JK naye ni mchafu.

Magazeti ya Mengi yanang'ang'ania tu na serikali ya awamu ya tatu, wakati kwenye hili hata awamu ya nne wanahusika. Nahisi ni ile vita ya Kilimanjaro hotel. Mimi nimekuwa nikiandika ufisadi wa Mkapa miaka na miaka tokea enzi zile anaitwa mr clean, sisi wengine wakati tunapata scholarships, mzee clean alikuwa anachukua vijisenti. lakini kwenye hili sio Mkapa pekee, ni yeye Mkapa pamoja na JK na marafiki zao.

Kwenye huu ufisadi tusiangalia sura, tupambane na wote tu. Kitendo cha kujaribu eti kutokumhusisha JK na ufisadi wa Tanzania ni kichekesho kikubwa. Labda tukubali tu kwamba yeye ni rais wa nchi tumlinde ili tuweze kukamata wale wengine. Lakini tatizo, ukimlinda JK, huwezi kumkamata RA.

Namshangaa sana Mengi anavyojaribu kuonyesha JK ni msafi na eti anapambana na ufisadi. Kweli majambazi yanaendelea kukaa bungeni, utasema hii serikali inapambana na ufisadi kweli? Hata Chenge ambaye kila kitu kiko wazi, atakaa bungeni na mwaka kesho kupata kiinua mgongo cha milioni 40? Hawa viongozi wetu wanatuchezea kweli kweli.
 
Dossier ipo na imejaa tele kama pishi la mchele.... wala usiwe na wasiwasi. Kuna siku utaiona. Au inakuweka "kiroho juu" nini? Usiogope ni wewe tu ambaye hukutajwa kwenye hiyo dossier.
Wadanganyika bwana, endeleeni kudanganywa, mtu unadanganywa mara 20 bado unakubali kudanganywa tena?

Mimi boksi zangu zinanitosha, sihitaji kuibia maskini, kwahiyo dossier fake ya Ballali haiwezi kunipa hofu japo inanitia kinyaa hata kusikia kwamba bado wanaendelea na uwongo wao ule ule.
 
Freetown,

Huyo jamaa walizika gogo na kwasababu serikali haimtafuti basi ataendelea
kufaidi maisha yake huko visiwani.

Hao wachunguzi wa EPA kazi yao kubwa si ilikuwa kumlinda JK asipakazwe na hilo tope la ufisadi? Hawakutaka kuchambua kule ambako kungeonyesha JK naye ni mchafu.

Magazeti ya Mengi yanang'ang'ania tu na serikali ya awamu ya tatu, wakati kwenye hili hata awamu ya nne wanahusika. Nahisi ni ile vita ya Kilimanjaro hotel. Mimi nimekuwa nikiandika ufisadi wa Mkapa miaka na miaka tokea enzi zile anaitwa mr clean, sisi wengine wakati tunapata scholarships, mzee clean alikuwa anachukua vijisenti. lakini kwenye hili sio Mkapa pekee, ni yeye Mkapa pamoja na JK na marafiki zao.

Kwenye huu ufisadi tusiangalia sura, tupambane na wote tu. Kitendo cha kujaribu eti kutokumhusisha JK na ufisadi wa Tanzania ni kichekesho kikubwa. Labda tukubali tu kwamba yeye ni rais wa nchi tumlinde ili tuweze kukamata wale wengine. Lakini tatizo, ukimlinda JK, huwezi kumkamata RA.

Namshangaa sana Mengi anavyojaribu kuonyesha JK ni msafi na eti anapambana na ufisadi. Kweli majambazi yanaendelea kukaa bungeni, utasema hii serikali inapambana na ufisadi kweli? Hata Chenge ambaye kila kitu kiko wazi, atakaa bungeni na mwaka kesho kupata kiinua mgongo cha milioni 40? Hawa viongozi wetu wanatuchezea kweli kweli.

Mtanzania;

Mtumikie kafiri upate mradi wako . . .

Looks like information nying and secrets wanaweza kuwanazo Mafisadi. Tutawatumia hao hao kumkoma nyani giladi hadi wote waishe. Kama ujuavyo kwenye Msafara wa Mamba hata Kenge wapo.

Tutafika. Sasa hivi tunajenga. Tofali linalotufaa, tunalitumia. Bovu tunalirekebisha, likifaa tunalitumia hata kama kiraka. Likikataa tunaliacha na kulitupa.
 
Freetown,

Huyo jamaa walizika gogo na kwasababu serikali haimtafuti basi ataendelea
kufaidi maisha yake huko visiwani.

Hao wachunguzi wa EPA kazi yao kubwa si ilikuwa kumlinda JK asipakazwe na hilo tope la ufisadi? Hawakutaka kuchambua kule ambako kungeonyesha JK naye ni mchafu.

Magazeti ya Mengi yanang'ang'ania tu na serikali ya awamu ya tatu, wakati kwenye hili hata awamu ya nne wanahusika. Nahisi ni ile vita ya Kilimanjaro hotel. Mimi nimekuwa nikiandika ufisadi wa Mkapa miaka na miaka tokea enzi zile anaitwa mr clean, sisi wengine wakati tunapata scholarships, mzee clean alikuwa anachukua vijisenti. lakini kwenye hili sio Mkapa pekee, ni yeye Mkapa pamoja na JK na marafiki zao.

Kwenye huu ufisadi tusiangalia sura, tupambane na wote tu. Kitendo cha kujaribu eti kutokumhusisha JK na ufisadi wa Tanzania ni kichekesho kikubwa. Labda tukubali tu kwamba yeye ni rais wa nchi tumlinde ili tuweze kukamata wale wengine. Lakini tatizo, ukimlinda JK, huwezi kumkamata RA.

Namshangaa sana Mengi anavyojaribu kuonyesha JK ni msafi na eti anapambana na ufisadi. Kweli majambazi yanaendelea kukaa bungeni, utasema hii serikali inapambana na ufisadi kweli? Hata Chenge ambaye kila kitu kiko wazi, atakaa bungeni na mwaka kesho kupata kiinua mgongo cha milioni 40? Hawa viongozi wetu wanatuchezea kweli kweli.

Asante mkuu kwa ukweli uliomwaga hapo juu. Ilishasemwa kwamba ukikamata mafisadi wakuu basi usalama wa nchi utayumba. Mkuu wa kaya (JK)anajijua na anajua kwamba anahusika, akijikamata kwa wizi huu basi serikali yake yote ni batili, ushaidi wote anao RA pamoja na baadhi ya vigogo wa serikali ya awamu ya tatu. Ndiyo maana mpaka leo ni kigugumizi katika kuwataja na kuwashughulikia wahusika wa KAGODA.
 
I do believe what has been written here, for any wise and caring man who knows after he dies his family will face possible vitisho na hata kupewa sumu kama yeye ili mafisadi waendelee kuimbia responsibility angeandika/angeacha something to protect them.

Kama ukisoma vizuri huyu mwandishi amesema kwamba hizi documents zipo kwa anonymous lawyers in abroad that means ‘NO ONE CAN TOUCH THEM'. Kuna a limit of where TZ mafisadi can go and who they can buy.

Mi nafikiri hawa wanandugu wanasubiri wahakati muhafaka pale watakapo sumbuliwa au kutishwa na mafisadi maana kumbukeni Anna Mganda mke wa late balali anatajwa kuwa anashare na Meremeta. Je swali ni kwamba mafisadi watatumia hii kuonyesha balali alikuwa mwizi? Au kama ushahidi wao mahakamani? Na pia ni nani atapelekwa mahakamani? Mkapa, JK, RA etc?

Pia Kumbukeni Anna amefanya kazi abroad for decades, her minimal salary per year might be between $200,000 and $400, 000 (not to include other legal income she has from legal businesses shares and research work etc). Sasa kweli for someone with that income hawezi kuwa na share kwenye makampuni mbalimbali?

Mi naona tuwe makini tunapoongelea hii issue tuchambue what is important and for those who are close to the Late Balali's family wawaombe hawa ndugu zake waangalie jinsi hizi documents zitakavyo kuwa link to media. They may need them kama ushahidi mahakamani kuhusu top mafisadi na kama zikienda kwenye media haraka haraka kuplease watu hawa mafisadi watatafuta njia za kujiokoa.

This game is far deep than we common people think. Naamini kabisa kunawatu wengi wanausika na wengine hata hatuwezi kuamini, sitashangaa JK na BWM ni kati yao.
 
This has got to be a joke.

What the hell is wrong with Tanzanians? My people please, i beg you, wake up. Not just for your own sake but for the sake of every Tanzanian who loves this country and knows it can be a better place.

I don't believe there is a dosier but how the hell can someone openly brag in a major newspaper about withholding evidence in an ongoing investigation and not be prosecuted for withholding evidence. Are you kidding me?
 
No one knows who withhold the evidence! that is what democracy does, it is speculation, in other words its newpaper words against unknown relative words! what if unknown relative akisema he never said so!!!

No relative has gone public saying he has a evidence of corruption or doser... no name has been mentioned on that newspaper. who are you going to prosecute? and it is their wish ( Balali relatives) to open up a case etc using the evidence they have.

Alpha this is a dirty politics and money game... blackmail is always byproduct of that 🙂 me and you we should open our eyes, and prepare our hears for more.. nothing will go unsolved this isnt 1989's.. its 2009
 
Ana mshara wake sio zaidi ya shilingi 90,000 kwa mwaka ni karani kama vile sekeretari. Hata akifanya mpaka astaafu hatapata zaidi ya hiyo. Balali pension yake haikuzidi 120.000. kwa mwaka. Sasa majumba yote hayo wameyapata na nini. Harusi ya mamilion gauni tu lilikuwa 50.000 dollars kule florance walialika watu kutoka vijijini kila kitu paid hizo hella zilitoka wapi. Balali kama kweli amekufa i hope yuko jehanam umaskini aliotutia.
 
- Sister Anna ni karani aliyemsaidia sana Mkapa ku-turn arround our economy na kuishia kumuachia Muungwana mapesa kibao kwenye hazina zetu ambazo tayari amezimaliza zote kwa safari in only two years?

- What a karani yaani sekretari of Sister Anna? Wakuu tujifunze kuona mapungufu na mazuri ya wanadamu wengine na kukubali ukweli inapobidi!

Respect.

FMES!
 
Balali ni fisadi la kutisha, tene mwizi namba moja hana chochote, akiwa maiti au kajificha yeye ni mwizi. Huu ni usanii mkubwa mno kama kweli yeye ni msafi wengi wangemzika DC nini kilimfanya hata aogope maiti yake. Nini kilimfanya hata aogope kusema hospitali aliyolazwa baada ya kufa, kwa nini alizikwa kama kigagula.Je kwanini wazike mgomba wakati yeye yu hai hawezi kusema kitu kwani wenzake wanajua alipo na fedha yetu bado inasagwa kwa kwenda mbele.

Dhambi ya fedha zetu zinamtafuna yeye na nduguze, hawa tunao watapata masakala na vilaza.
Hakuna dossier ya malaria wala ya kifafa.Yeye atueleze ni jinsi gani walivyotutenda period hakuna msafi yeye na mkapa wote mafisadi.
Wajinga ndio waliwao.
 
Nadhani tungoje huko mahakamani walikopelekana wakulu; kule nadhani ndio kutakakofumuka mambo ambayo sisi wote tutashangaa na kujua kama kweli marehemu Ballali aliacha dossier au la!! Mengi si mjinga anapokataa kutoa ushahidi wake kwa polisi; anangoja kuutoa mahakamani!! Huko wataachwa watu bila nguo!! We jiulize Mengi anaposema ENOUGH IS ENOUGH ana maana gani?
 
- Sister Anna ni karani aliyemsaidia sana Mkapa ku-turn arround our economy na kuishia kumuachia Muungwana mapesa kibao kwenye hazina zetu ambazo tayari amezimaliza zote kwa safari in only two years?

- What a karani yaani sekretari of Sister Anna? Wakuu tujifunze kuona mapungufu na mazuri ya wanadamu wengine na kukubali ukweli inapobidi!

Respect.

FMES!

Huyu mama Muganda alikuja kwa mambo yake na BWM na wala sio ushauri wa uchumi na ndio maana mama wa kichaga alipostuka ikabidi atimuliwe! Hii hadithi kwamba alicontribute to turn around the economy ni wishiful thinking tu. As to her pay huko W/B hapati hizo pesa unazosema anapata she is just a junior officer ; ukukmbuke kuna watu walikuwa maboss wake kule ambao sasa wapo hapa nyumbani hawakubaliani na figures hizo bro!!
 
Back
Top Bottom