Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu FMES,
Hakuna haja ya kuendelea kubishana juu ya hili.
Hao walio na hizo video au tapes watuletee vinginevyo wafunge midomo yao maana tumechoka kudanganywa na hizo zinazoitwa data za Ballali. Toka mwaka jana wanasema data zinakuja lakini mpaka sasa sijaona hata kitu kimoja cha Ballali ambacho kimeletwa kwenye public attention.
Ndio maana mimi naamini ni yale yale ya kutudanganya. Nitaandika zaidi mambo ya Ballali
zikiisha arobaini toka kutoroka kwake. Wakati huo watakuwa hawana kisingizio tena cha kuendelea kutokutoa hizo kanda kama kweli wanazo.
Mimi naamini hakuna hizo kanda na hizi leakes zote ni ile ile strategy ambayo waliianza toka mwezi wa nane mwaka jana kuanzia kule Dodoma ambako bila hata aibu akalidanganya bunge
ili kuficha ujambazi wake.
Msanii namba moja, anadai kanyweshwa sumu bado hawataji wabaya wake, kauwa bado kimya, kachafuliwa na kila gazeti na kwenye mahakama bado dossier yake eti anasuburi muda muafaka.
Usanii wa Ballali umezidi kiwango, kawasaliti Watanzania kwa kujiingiza kwenye corruption ya ajabu kwa kushirikiana na majambazi ya nchi yetu, leo hii bado ndugu zake wanajaribu ku manipulate Watanzania ili eti wamsafishe, nosense!
Mwache yeye aendelee kufaidi mapesa aliyowaibia maskini huko kwenye visiwa alikojichimbia. Inasikitisha sana!
Nahisi hii habari ina uhusiano na vita kati ya mapapa na manyangumi. Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu hiyo dossier, ukweli ni kwamba haipo na mambo yote yanayosemwa ni juhudi hiyo hiyo ya kuwafanyia usanii Watanzania. Hii dossier inatumika kama propaganda kila muda ukiwa muafaka kwa wale wanaojifanya walikuwa karibu na Ballali.. Swali langu ni lile lile ilivuja report ya EPA eti ndio iwe dossier ya Ballali?

Mkuu, inamaana hajafa???. hata mimi nina shaka kama hiyo dossier ipo na hata kama ipo kama alificha uhalifu naye ni mharifu, ila cha kujiuliza huu usanii, kwa nini tume iliyoundwa kuchunguza EPA haikumfata Ballali aliko maana ndo alikuwa mtuhumiwa namba moja, kuna siri kubwa, lakini kuna siku ukweli utajulikana tu.
Wadanganyika bwana, endeleeni kudanganywa, mtu unadanganywa mara 20 bado unakubali kudanganywa tena?Dossier ipo na imejaa tele kama pishi la mchele.... wala usiwe na wasiwasi. Kuna siku utaiona. Au inakuweka "kiroho juu" nini? Usiogope ni wewe tu ambaye hukutajwa kwenye hiyo dossier.
Freetown,
Huyo jamaa walizika gogo na kwasababu serikali haimtafuti basi ataendelea
kufaidi maisha yake huko visiwani.
Hao wachunguzi wa EPA kazi yao kubwa si ilikuwa kumlinda JK asipakazwe na hilo tope la ufisadi? Hawakutaka kuchambua kule ambako kungeonyesha JK naye ni mchafu.
Magazeti ya Mengi yanang'ang'ania tu na serikali ya awamu ya tatu, wakati kwenye hili hata awamu ya nne wanahusika. Nahisi ni ile vita ya Kilimanjaro hotel. Mimi nimekuwa nikiandika ufisadi wa Mkapa miaka na miaka tokea enzi zile anaitwa mr clean, sisi wengine wakati tunapata scholarships, mzee clean alikuwa anachukua vijisenti. lakini kwenye hili sio Mkapa pekee, ni yeye Mkapa pamoja na JK na marafiki zao.
Kwenye huu ufisadi tusiangalia sura, tupambane na wote tu. Kitendo cha kujaribu eti kutokumhusisha JK na ufisadi wa Tanzania ni kichekesho kikubwa. Labda tukubali tu kwamba yeye ni rais wa nchi tumlinde ili tuweze kukamata wale wengine. Lakini tatizo, ukimlinda JK, huwezi kumkamata RA.
Namshangaa sana Mengi anavyojaribu kuonyesha JK ni msafi na eti anapambana na ufisadi. Kweli majambazi yanaendelea kukaa bungeni, utasema hii serikali inapambana na ufisadi kweli? Hata Chenge ambaye kila kitu kiko wazi, atakaa bungeni na mwaka kesho kupata kiinua mgongo cha milioni 40? Hawa viongozi wetu wanatuchezea kweli kweli.

This has got to be a joke.
What the hell is wrong with Tanzanians? My people please, i beg you, wake up. Not just for your own sake but for the sake of every Tanzanian who loves this country and knows it can be a better place.
I don't believe there is a dosier but how the hell can someone openly brag in a major newspaper about withholding evidence in an ongoing investigation and not be prosecuted for withholding evidence. Are you kidding me?
Ana mshara wake sio zaidi ya shilingi 90,000 kwa mwaka ni karani kama vile sekeretari. Hata akifanya mpaka astaafu hatapata zaidi ya hiyo. Balali pension yake haikuzidi 120.000. kwa mwaka. Sasa majumba yote hayo wameyapata na nini. Harusi ya mamilion gauni tu lilikuwa 50.000 dollars kule florance walialika watu kutoka vijijini kila kitu paid hizo hella zilitoka wapi. Balali kama kweli amekufa i hope yuko jehanam umaskini aliotutia.
- Sister Anna ni karani aliyemsaidia sana Mkapa ku-turn arround our economy na kuishia kumuachia Muungwana mapesa kibao kwenye hazina zetu ambazo tayari amezimaliza zote kwa safari in only two years?
- What a karani yaani sekretari of Sister Anna? Wakuu tujifunze kuona mapungufu na mazuri ya wanadamu wengine na kukubali ukweli inapobidi!
Respect.
FMES!