Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

Hakunaga marehemu mwenye sifa mbaya sijui kwanini! Eti Gardner naye wakasema alikuwa na heshima kwa wanawake, sifa zooote za malaika wa mbinguni anapewaga marehemu! Na kati alikuwa akisemwa kakosa mwelekeo anakunywa pombe kawa kama wale wanywa matap tap alitukanaga wanawake hadi kigwangala akaingilia afu leo anapambwa mi sijui nikoje moyo wangu ushashindwa unafki
 
Kiukweli gadner angekuwa baba mkwe wangu ...sema ndo hivyo niliachana na karen ...... its was great love
 
Gardner aliishi maisha yake!! He was happy...na nahisi mwishoni alijua alifika mwisho na hakuna alichobakisha! Kuna watu wanataka waishi miaka 100 and living in fake life...kujifanya wema Kwa macho ya society na huku wanateseka... what a loss!!!
RIP Mwamba!
 
Acha wivu kwa marehemu

Hata wewe utasifiwa pamoja na magumashi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…