Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

ADMN NILINDE IMEBIDI NIINGIE STUDIO KWA MUDA KUKUMBUKA KUMBUKIZI
 

Attachments

  • FB_IMG_1713759036508.jpg
    FB_IMG_1713759036508.jpg
    48.2 KB · Views: 7
Kwa afya yake ilivyokuwa alikuwa hana muda mrefu ,ila kuna watu kama professa jay roho ngumu balaa
 
Hakunaga marehemu mwenye sifa mbaya sijui kwanini! Eti Gardner naye wakasema alikuwa na heshima kwa wanawake, sifa zooote za malaika wa mbinguni anapewaga marehemu! Na kati alikuwa akisemwa kakosa mwelekeo anakunywa pombe kawa kama wale wanywa matap tap alitukanaga wanawake hadi kigwangala akaingilia afu leo anapambwa mi sijui nikoje moyo wangu ushashindwa unafki
Unakataaje au ulikuwa mkewe

Kama lady JD Amelia kashindwa kujizuia unajua Amelia kwa sababu zipo ,itakuwa ni ubora wa Gardner

Pia ,usiwe mzito kuelewa ubora wa sisi wanaume kwawanawake ni kitandani kuwakamua na sio Hela hela baadae
 
Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.


View: https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-

Unawajua wachagaa wa Rombo wewe ? Watu watakunywa Pombe mpaka wengine watafia huko huko sembuse wimbo tu ?
 
Back
Top Bottom