Mnakoelekea mtagombana!Nimekupata mkuu.
Nilikutangulia, nimekula 2012.
Hatugombani mkuu.Mnakoelekea mtagombana!
Ushaona wapi mafahari wawili wakashea bando halafu ikabakia kuwa 'pisi'?
Huna hili jingle la "kuzimu hakuna beer"Kuzimu hakuna BIA Gardner Feat Kibonde, sasa wote wanaungana
Dahhh.. mbonaaa alikua mdogo sanaNimekupata mkuu.
Nilikutangulia, nimekula 2012.
ana yajua sana... hadi mtaro ukipenda unapita🥰🥰🥰 kana nyeana balaaaaa
HahahahaKwa afya yake ilivyokuwa alikuwa hana muda mrefu ,ila kuna watu kama professa jay roho ngumu balaa
2012 alikuwa na umri gani mkuu?Dahhh.. mbonaaa alikua mdogo sana
Unakataaje au ulikuwa mkeweHakunaga marehemu mwenye sifa mbaya sijui kwanini! Eti Gardner naye wakasema alikuwa na heshima kwa wanawake, sifa zooote za malaika wa mbinguni anapewaga marehemu! Na kati alikuwa akisemwa kakosa mwelekeo anakunywa pombe kawa kama wale wanywa matap tap alitukanaga wanawake hadi kigwangala akaingilia afu leo anapambwa mi sijui nikoje moyo wangu ushashindwa unafki
Unawajua wachagaa wa Rombo wewe ? Watu watakunywa Pombe mpaka wengine watafia huko huko sembuse wimbo tu ?Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
View: https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
ushaidi uko wapiNalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
View: https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
unazingua mkuu ..nimetafuna sana uyo mtoto 823kj.Mimi wakati yuko last year IFM pale
Shuka bei gani unauzaAseeee