Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Kwa kiasi chake alitusaidia


Nyumba nyingi zilineemeka kupata umeme kwa bei chee

Miradi endelevu nayo si haba
 
Kiongozi lazima awe na maono, kuwa kiongozi haimanishi kuwaamini sana waliopo chini yako wakati mwingine wanaweza kukupotosha kwa maslahi yao wenyewe! kiongozi lazima uwe mfuatliaji wakati mwingine wewe mwenyewe! vyombo vya ulinzi na usalaama ni binadamu na wao wapo ambao siyo waaminifu, sasa inapofikia kila kitu unaamini kinaenda sawa upo mda unafika unajilaumu mwenyewe kwanini nimefanya hivi, kuwa kiongozi ni mhimu sana kuwa mdadisi na kuwajuwa waliopo chini yako kitabia na mwenendo wao katika utendaji.

Kiongozi ukisikia kelele za unaowaongoza fatlia kelele hizo wewe mwenyewe zinatokana na nini , upo mda unaweza kutuma wasaidizi wako wakakupotosha na baada ya kukupotoshwa kelele zinazidi na wewe unaonekana kutojali.

Hii ni hatari sana katika uongozi kwani kiongozi lazima uwe enquistive kupitiliza na maono ya hali ya juu! unaweza kutoka kwenye utumishi bila mradi wowote ulioachia umma wenye tija.

"R.IP. DR.J OHN POMBE MAGUFULI NI KIONGOZI AMBAYE HUTOSAHAULIKA KATIKA KIZAZI HIKI CHENYE UELEWA MKUBWA , KUPITIA WEWE TUMEAMINI TANZANIA SIYO MASKINI ULINUNUA NDEGE BILA MKOPO NA ULIBEZWA KUWA NI MITUMBA ILA KWA SASA MANENO YA MITUMBA HAYAPO MATATIZO YALIYOPO KWA SASA WATU WENGI WANEKUWA BUBU ZAMA ZAKO ULIWEZA KUJUWA NI NANI MPINZANI ANAYEKOSOA NA ANAYETAKA MKATE"

Mtu abayesema wewe ni mwizi ni dikteta atsishia kusema trilion 1.5 na pesa mara zilipekekwa china! kama umeiba basi umeiba tumeona kazi zako ulizozifanya ! mradi wa maji kutoka ziwa victiria umeacha umeufikisha mkoa wa tabora na singida lengo ilikuwa kufikisha makao makuu ya nchi "KWA SASA HILO SWALA HALIZUNGUMZIWI TENA"

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Your browser is not able to display this video.
 
Natoka Nje ya Mada Kumradhi.

Kuna kijana mmoja akijipitilia mjini alikutana na Wazee na vijana, wengi wao wakiwa wameshikilia mabango;yaani walikuwa wako kwenye mgomo. Kijana aliwauliza ' Kwa nini mnagoma? Ni nini hasa mnachokitaka?'
Walijibu, "we're not sure, lakini haturudi majumbani mpaka kieleweke!"

Imekuwa kawaida au sio kawaida kukutana na Migomo kama hio JF. Yaani watu wanaanzisha Uzi na mabandiko juu kuonyesha karaha walizozipata au lah, wakati Hayati Rais akiwa Dereva wa Nchi hii, utaona Matusi, Kejeli, Mibezo, mipasho Uwongo, yani inafikia sehemu kuna watu wanadiriki kusema "Familia ya Mama Janeth haina Uchungu wa Kifo zaidi ya Wasukuma" Seriously? Yaani tumefika sehemu tunaweza kuwachagulia machungu familia aliyoizaa na kuitunza mwenyewe, halafu twaja sema hakuwa binadamu? Seriously?
Hivi, kana yule kijana alivyouliza 'ni nini haswa mnachokitaka?' manake ni wazi Wale wazee na vijana waliokuwepo kwenye mgomo hawakuwa na Furaha kabisaa, nauliza tena 'ni mpaka nini kitokee na kieleweke ndio mtarudi makwenu?', [wherever- that may mean to you] sielewi! Maana yake hamkuwa na furaha wakati anaendesha, mkaomba na kuswali afe! Amekufa! Amezikwa! na hatunaye-Kamaliza Mwendo wakuu. Mie kijana nawaulizeni, nini haswa mnachokitaka? manake kama ni machungu mliyayapata, mkamwombea Rais afe na akafa, nini tena kinachowabugudhi? Je, hamkupata faraja na furaha pindi sala zenu zilipoitikiwa? (Mungu fundi, si ndio?) Mnategemea Furaha gani kwa kuendeleza shutuma oovu za kuvunjisha amani ya Familia ya Hayati? Ni nini mnachokitaka? Furaha mnayo, Je, Ni amani mnatafuta? Hayupo! Kwanini hamna Amani nyie wazee na vijana wa Tanzania?
Ni dhahiri hamna furaha kwa sababu mmeshikilia mabango na hamjayashusha, hamuendi kwa Familia zenu aidha kwa aibu ya sala zenu au aibu ya uovu wenu, hivi kweli mnategemea Amani na Utulivu na Furaha kama zilizoahidiwa na Muumba?
Mjitathmini.

Vitabu vikuu vinasema, ukitaka maisha yenye tija na Furaha zenye barak, chunga ulimi wako kueneza uovo na kutoa matamshi ya kifedhuli na Uwongo, turn away from evil and do good. Jitahidi kuwa na mahusiano mazuri na yenye amani na walio hai-Hayati hayupo kubadilisha hiyo, hana pa kujitetea Tafuteni amani kwa njia nyingine. Tafuteni furaha kwa njia nyingine. Tuna Nchi ya Kujenga.....!

Tafuta amani leo hii. Wacheni kugombana na kaburi-huo ni uwendawazimu.

Rest in peace Comrade, Rest in peace.
 
Itajulikana tu huko mbele ya safari
 
Pamoja na mwamba hayupo ila bado ni tishio mno kwa wanasiasa hasa mafisadi maana wanajua kipindi cha uchaguzi kikifika jina la mwamba litatumika kama reference ya mtu anayepaswa kupewa uongozi. Yaani kipindi cha uchaguzi kiongozi atayepiga kampeni akitumika hulka na tabia za kimagufuli tayari anakuwa na asilimia 50 za ushindi zingine ajazie mwenyewe.
 
Duh 🙄 !!!!! 😱
 
Hakuna wakumkumbuka mpuuzi. yule katuumiza sana wavuvi.
Kwanza nikweli alikuwa kichaa kama mwenyewe alivyosema
Sikiakaulizake kichaa yule eti ukiniletea mpinzani sileti maendeleo.
Alafutena nitaendelea kuteuwa wapinzani nitakaona wananifaa maendeleo hayana chama sasa siupumbavu kumkumbuka kichaa wahivi mungu amlani hukoaliko
 
Ila nikupe Pole sana ila ilikuwa zamu yako Mtumia Uvuvi wa SUMU
 
Kwa kàwaida kanisa jpm aio wa kukumbuka hata kidogo alikua muuwaji na katiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…