Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

 

Attachments

  • IMG-20221025-WA0091.jpg
    65.2 KB · Views: 12
  • IMG-20221025-WA0105.jpg
    192.5 KB · Views: 6
Kwa kunipa ajira, kuandishwa mishahara kila mwaka na madaraja ya utumishi
Unaongelea watu laki nne enzi hizo huku milion 50+ walikuwa nanateswa na majambazi, kipindupindu kisichoisha kisa maji hakuna, mgao wa umeme kila siku, barabara mbovu n.k.

Tuache..mfuate msoga hapo mkapige soga.
 
Kibaya chajitembeza kizuri kinajiuza uyo dikteta wenu mnamtembeza sana ila bado atabaki kua dikteta,killer, mzurumu haki na Mwizi wa uchaguzi wa 2020
Uchaguzi wa 2015 wananchi walikubali misukosuko yote ya kampeni na uchaguzi ili wabunge wa CHEDEMA na wapite na kweli wakapita

Hao wabunge wakasaliti wananchi waliowapigia kura na kurudi CCM
Hadi mgombea wenu uraisi pia alirudi CCM

Kwa hiyo ulitaka wananchi wapoteze tena mda wao na nguvu zao 2020 ili kuichagua tena mjingajinga ya CHADEMA? Watanzania sio wapumbavu kiasi hicho
 
Na kazi yake ilionekana hapohapo!
Hotuba zake ziliongelea kilichohusiana na pale alipo!
Hakuwa na hotuba za kuzunguka Mbuyu hata kidogo!
Ulikuwa ukimkosea mnamalizana Papo Hapo!
 
Kwa machozi waliao watz!!!

Mvua kuonyesha itachukua muda sana!!!!
 
Ogopa kauli ya mtu anaye kufa. Maneno ya Magu sii yatatimia tu ila yatakiacha chama Kikogwe kwenye majibu ya Moto usio zimika. Wapo watu walidhani akifa ndio watakula maisha ila sasa wapo walio Kwisha ona jalada na wanajuwa ukweli nao wanaona kumbe hakuna kula maisha but tough time a head of them. Let keep silence and we will hear voice. End
 
That's exactly what's going on at the moment within those State Capture's & State Cartel's.

There's a big Noise will raise from the bottom Majority....
It will be..between

"Walamba
Asali V/S Wameza Shubiri"

Time will tell Soon!
 
mm sina vyeti fake ieleweke hivyo
kiongozi aliye ua na kutesa waliompinga akumbukwe kwa lipi?
kwa mara ya kwanza nchi yetu iliingia kwenye biashara ya kununua wabunge wa upinzani kwa kilichoitwa KUUNGA MKONO JUHUDI tumkumbuke kwa lipi?
watumishi wa umma walikaa miaka mitano bila nyongeza ya mishahara wala kupandishwa vyeo leo wamkumbke huyu fedhuli?
alipora korosho za wakulima akitumia JWTZ kisha mnataka akumbukwe?
siyo huyu aliyeua watu huku MKIRU leo mnataka akumbukwe kwa lipi zaidi ya kuua na kuwatesa waliompinga?
nani alimpiga risasi Tundu lisu?
Kamfufue aje amalize mgao wa umeme sasa? kwani samia ndo aliyesema mvua isinyeshe
SUKUMA GANG MNATIA KINYAA
 
Kwani kwenye miaka yake mitano haukuwahi kuushuhudia ujame zaidi ya huu.
Lakini umeme ulikuwa moto chini bila shida.
Why now!
Alikuwa anaunya? tuseme alikuwa akitumia miujiza? kulikuwa na ukame lini katika ile miaka mitano ya dhalimu? dictator uchwara aliyekufa kibudu kwa covd 19
 
Tanzania sio nchi ya kuichukulia kiakili akili ni kusumbua ubongo.
 
Kibaya chajitembeza kizuri kinajiuza uyo dikteta wenu mnamtembeza sana ila bado atabaki kua dikteta,killer, mzurumu haki na Mwizi wa uchaguzi wa 2020
Magufuli kafa karibu miaka miwili iliyopita lakini haiwezi pita 24hrs bila nyuzi yake humu kumuongelea,atakumbukwa daima kwa mema yake aliyowafanyia watanzania kaacha alama ambayo haiwezi futika kamwe r.i.p rais wangu kipenzi.
 
Wewe ni miongoni mwa wajinga wachache ,haiwezekani useme kuwa mliibiwa uchaguzi 2020 and the same mnaseme lissu alipata kura zaidi ya milioni mbili kuweni na akili kidogo.
 

Ni kwamba nyie mnaenda nchi tofauti na sisi wengine? Ukweli ni kuwa wale walioshiba propaganda zake ndio wanamsifia. Ila watu wengi wanaojitambua hana sifa hizo. Ni kweli kuna sehemu alipatia, lakini huo ulikuwa wajibu wake maana alikuwa analipwa mshahara.

Wengi wanamuona kama kiongozi aliyekuwa mkali/jazba na mipango ya kukurupuka, na asiyejali sheria, bali msaka sifa binafsi. Na kwa kuujua ukweli huo ilibidi apore uchaguzi, maana hakutaka matokeo ya kweli kuhusu kukubalika kwake yaoenekane. Kama kweli alikuwa anakubalika kwa kiwango hicho mnachosema, asingenajisi uchaguzi kwa kiwango kile.
 
Wewe ni miongoni mwa wajinga wachache ,haiwezekani useme kuwa mliibiwa uchaguzi 2020 and the same mnaseme lissu alipata kura zaidi ya milioni mbili kuweni na akili kidogo.

Hizo ndio waliona apewe Lisu, lakini matokeo ya kweli yalichezewa. Na ushahidi wa wazi wa uhayawani ule upo. Kwanza kutaka kudhibitisha uchaguzi ule aliamua kuuchezea, karatasi ya kura huwa inafuata alphabet ya chama, cha ajabu yeye alikuwa wa kwanza, bila sababu za msingi, kisha akaagiza Lisu awekwe wa mwisho kwenye karatasi la kura. Unaweza kusema ni kwanini karatasi la kura halikufuata utaratibu sahihi?
 
Mwizi Anarudishiwa hela alizokatwa kama michango Aliyokua Analipa wakati Anawaibia watanzania kwa vyeti feki [emoji125]
 
Hii kauli ya JPM inawala sana hawa walamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…