🤣🤣🤣DP
wale HAWANA dini
KABISAAA HUDHURIA MAHAKAMAN UTAJUA ACHA KABISA ANAMALIZANA NA WEWE ANAMFWATA ALIESHINDWA KATA RUFAA UNASHINDA...ANAWEKA MWENZIE...UNARUDIULINGONI UNAKOJOA DAMU..ACHATU
🤣🤣🤣Ya ndege wafananao huruka pamoja eee....Aya yaliyotokea kwa Jacky&mengi huwezi kuyaona kwa waliooana familia tajiri kwa familia tajiri.
Hii ndo maana inasababisha matajiri hawatakagi kabisa vijana wao waoe/kuolewa na mwenza kutoka familia maskini.
Yaan unaoa lijitu linawaza TU Mali zako, Bullshit.
Laiti Kama,
Mengi angeoa binti wa bakresa sidhan Kama wangefika huko kote.
Kuna la kujifunza hapa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah.. tuombeane sana mkuu. Inasikitisha na kuumiza sana. Najiulizaga tu, hivi watu hawanaga aibu jamaniYaani we acha tu ...huko ni kujiingiza maangamivuni kwa mikono ya mhusika....
na hii kauli ndo kichaka chake alichojofichia na yeye humo,[emoji2][emoji2][emoji2]Ana kauli yake eti anatafuta haki za wototo wake
Umemaliz kila kitu. Na tumejionea hata makwetu[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] umepenyeza ukweliii... yaan umaskini jamani. Ila kuna kuwa maskini wa roho na maskini wa mwili. Heri uwe maskini wa mali kuliko roho.. pooh mbakaAya yaliyotokea kwa Jacky&mengi huwezi kuyaona kwa waliooana familia tajiri kwa familia tajiri.
Hii ndo maana inasababisha matajiri hawatakagi kabisa vijana wao waoe/kuolewa na mwenza kutoka familia maskini.
Yaan unaoa lijitu linawaza TU Mali zako, Bullshit.
Laiti Kama,
Mengi angeoa binti wa bakresa sidhan Kama wangefika huko kote.
Kuna la kujifunza hapa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss lady mentality ni ugonjwa wa kisaikolojia wanaojivisha mabinti wengi sana kizazi hiki. Wanahisi kuwa bilionea au milionea is a matter of ujanja ujanja na mbinu za kubahatisha.Asinge weza yule alikuwa na tamaa za kijinga kila kitu alijimilikisha yeye badala ya kuwa kitu kimoja na watoto wa kwanza ili ale vizuri
Kwa kifupi kabisa Jaklini ni mwizi asiyejua kuibaKuna Mambo huwa yanashangaza Sana 🤣🤣
Yaani kijana wa kiume aoe na kupata watoto wake halafu atajirike na kuendelea na UKWASI mpaka uzee wake ,Kisha atokee mwanamke(mke) mpya huko uzeeni ARITHISHWE NA KUTEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA MALI NA URITHI WA HUYO MUMEWE MZEE 🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha ha maisha hayawezi kufanywa RAHISI namna hiyo ha ha ha ha
Duuuuh kweli Kuna watu huhusudu "MTELEZO WA GANDA LA NDIZI" 🤣🤣
Hakusoma alama za nyakati alafu design kipindi kile mzee alikuwepo kumpa back up so may be alifungua office ya furniture kwa ajili ya kumkeep busy asikae bila issue ya kufanya.Yale makochi angeuza bei ya uchumi wa kati
Angewavuna kweli uswazi huku
Wangejibana wakacheza michezo na kuweka vibubu ili wanunue
Na hata mahakama ingempa, kwa wamachame siku zake zingekuwa zinahesabika..na bado mali ingerudi nyumbani tuJack imekula kwake sasa, usicheze na mangi kwenye hela!
Yaap anapenda sana bball kuna kipindi alikua anakuja mitaa ya TANESCO opposite na US embassy🤣🤣🤣
Nipokuwa mdogo wa umri wa miaka 12 hivi nilikuwa ninakwenda sehemu wachezayo BASKETBALL ambayo alikuwa hakosi kutokea yaani kipindi hicho alikuwa ni mzuri wa kuvutia huku akipiga pamba kali ila kila siku zisogeako anazidi kuwa na uso wa "serious ya mazabe ya KIMAISHA"🤣🤣🤣
Ubalozi labda ndo angeweza kuwauzia. Ila naona bi dada kamati yake ya marafiki hawakuwa loyal friends. Walikuwa na ule ushost wa kuhang pamoja na kupiga picha za kuonyesha wengine kuwa wao kampani yao wamepata wanaume wazito kiuchumi.Alifungua biashara ya kishua ya furniture. Sasa wabongo na njaa zetu mpaka upate mtu wa kununua kochi la million 10 sio mchezo, biashara ikafa kibudu
Haswaaaa!!Yaap anapenda sana bball kuna kipindi alikua anakuja mitaa ya TANESCO opposite na US embassy
True angekuwa hata na jewelry shop angekuwa kapatia....Ile sio biashara mkuu..vistuli unauza 3m..khaa ..! Angemfungulia kampuni hata za usafirishaj madin anajipelekea dubei huko au hata construction..mweeeee nasema mweeeeee!
Huko mangekimambi alisema hataki kuzungumza sababu italeta shida akiongea aliyojulishwa.Jack Ni mwanamke katili Sana,
Wakichunguza zaidi, usikute anahusika na kifo Cha mumewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee we binadamu umenifanya nicheke msibani... sio fresh namna hii... dahBoss lady mentality ni ugonjwa wa kisaikolojia wanaojivisha mabinti wengi sana kizazi hiki. Wanahisi kuwa bilionea au milionea is a matter of ujanja ujanja na mbinu za kubahatisha.
Sasa mzee yule kahenyeka sana hadi kufikia pale alipofikia, kuwa na mali na cash in the bank. Kenyewe kameona hapa hapa ndio chance ya kuwa bilionea's wife ili afe nirithi mali niwe boss lady.
Niwe naamka asubuhi naitisha kikombe cha cappuccino au espresso au late yenye uwa la bata bukini. Naamka kutoka kitanda cha futi kumi kwa kumi, navaa robe ya 100% cotton fabric jet white in color yenye jina langu limeshonewa nakwenda kuoga kwenye hot bubble bath huku nimezungukwa na mishumaa ya perfume, nikitoka navaa designer clothes na pochi ya vasace au Gucci, naenda dining room kupata breakfast ya pancake, eggs, na orange juice kutoka South Africa.
Then natoka naenda kwenye parking lot na chagua nitoke na gari gani kati ya vogue, Mercedes, Mayweather, BMW, Ferrari au audi, kisha niende hadi kwenye my executive corner office at the top floor of a 50 stores skyscraper building closer to the city center on my ocean view side. My PA anipigie kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu anipe ripoti ya kazi za jana na anisome ratiba ya shughuli na appointment za leo na anionyeshe documents za kusign ili kuruhusu mambo yaendelee. Then luch hours nitakwenda kula zanzibar na client so i will take a private plane. Then jioni nitarudi haraka City center kwaajiri ya appointment ya massage. Weekend me and my girls tunaenda Dubai for shopping.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndio vibinti vya siku hizi vinaota mchana kweupe. Sasa vikija kukwama na kujua kumbe life sio Ganda la ndizi kihivyo, utaona wanaruka na babu zao ili wawakill warithi japo utajiri wa nyumba na magari.
So pathetic......
Dream on girl... Dream on......
Angejua hata katika urithi angetumia hata 30% ya urithi uende kwa watoto wakubwa. Halafu 70% ndio abakize kwake na watoto wa sasa.Hii ishu nilishasema toka mwanzo, Wosia ukienda kinyume na sheria, basi unajibatilisha wenyewe, watoto wa damu na wa ndoa (ya mwanzo) wa marehemu hawakuwekwa kwenye wosia bila sababu, WHY? Hiyo ni kinyume na sheria, lazima sababu iwekwe wazi!
Sasa yeye ndio atapewa elfu,atajua nguvu ya bukuHalafu eti kama wakienda kupinga huo wosia mahakamani wapewe shilingi elfu moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unawajua vizuri wanasheria
Hakuna wapenda hela kama wao
Kwenye huo mpango lazima walihusika
Ova