Boss lady mentality ni ugonjwa wa kisaikolojia wanaojivisha mabinti wengi sana kizazi hiki. Wanahisi kuwa bilionea au milionea is a matter of ujanja ujanja na mbinu za kubahatisha.
Sasa mzee yule kahenyeka sana hadi kufikia pale alipofikia, kuwa na mali na cash in the bank. Kenyewe kameona hapa hapa ndio chance ya kuwa bilionea's wife ili afe nirithi mali niwe boss lady.
Niwe naamka asubuhi naitisha kikombe cha cappuccino au espresso au late yenye uwa la bata bukini. Naamka kutoka kitanda cha futi kumi kwa kumi, navaa robe ya 100% cotton fabric jet white in color yenye jina langu limeshonewa nakwenda kuoga kwenye hot bubble bath huku nimezungukwa na mishumaa ya perfume, nikitoka navaa designer clothes na pochi ya vasace au Gucci, naenda dining room kupata breakfast ya pancake, eggs, na orange juice kutoka South Africa.
Then natoka naenda kwenye parking lot na chagua nitoke na gari gani kati ya vogue, Mercedes, Mayweather, BMW, Ferrari au audi, kisha niende hadi kwenye my executive corner office at the top floor of a 50 stores skyscraper building closer to the city center on my ocean view side. My PA anipigie kuomba ruhusa ya kuja ofisini kwangu anipe ripoti ya kazi za jana na anisome ratiba ya shughuli na appointment za leo na anionyeshe documents za kusign ili kuruhusu mambo yaendelee. Then luch hours nitakwenda kula zanzibar na client so i will take a private plane. Then jioni nitarudi haraka City center kwaajiri ya appointment ya massage. Weekend me and my girls tunaenda Dubai for shopping.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndio vibinti vya siku hizi vinaota mchana kweupe. Sasa vikija kukwama na kujua kumbe life sio Ganda la ndizi kihivyo, utaona wanaruka na babu zao ili wawakill warithi japo utajiri wa nyumba na magari.
So pathetic......
Dream on girl... Dream on......