Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Yaani Jack bwana ...muda ule ilikuwa muda mzuri sana kufungua kampuni yake akakimbizana nayo ikasimama..mweee kwenye miti jamani!
Alianzishiwa....but akili yake ilikuwa kula bata tuuu.......alitakiwa atulie kimya....wangemfikiria asingekosa mali za kuanzia, isitoshe anao watoto na mzee.......marafiki zake ndio waliomponza........wacha tumvizie tuone kama mzigo bado kabana....
 
Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa

View attachment 1790872

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.

Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.

Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.

Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.

=====

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali.

Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Yose Mlyambina kufuatia shauri la mirathi lililokuwa limefunguliwa na watu wanne wakiwemo ndugu wa marehemu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo.

Jaji Mlyambina amefikia uamuzi huo baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi lililowekwa na mmoja wa watoto wakubwa wa marehemu Mengi pamoja na ndugu yake marehemu Mengi, waliokuwa wakipinga uhalali wa wosia huo.

Shauri hilo la mirathi namba 39 la mwaka 2019 lilifunguliwa na Benson Benjamin Mengi, William Onesmo Mushi, Zoebu Hassuji na Sylvia Novatus Mushi wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi mirathi hiyo kwa mujibu wa wosia huo.

Hata hivyo, mtoto wa Marehemu Mengi, Abdiel Reginald Mengi na ndugu wa marehemu Mengi, Benjamin Abraham Mengi, waliweka pingamizi dhidi ya wosia huo, wakipinga uhalali wake huku wakiwasilisha jumla ya sababu nne za kuupinga.

Sababu hizo ni pamoja na kwamba haukwa umepigwa mhuri na saini iliyokuwepo ilikuwa ni tofauti na saini ya kawaida ya marehemu Mengi na kwamba haukushuhudiwa na ndugu au mke wa marehemu.

Pia walikuwa wakidai kuwa marehemu hakuwa na uwezo wa kuandaa wosia kwa kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2016 na kwamba unaondoa katika urithi, watoto bila kuzingatia mila za Kichaga au kuhusisha ndugu.

Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote katika hukumu yake iliyosomwa juzi na Jaji Mlyambina na nakala yake kupatikana jana kwa matumizi ya umma, alikubaliana na hoja za pingamizi hilo dhidi ya wosia huo na kuikataa kuwa ni batili.

Jaji Mlyambina alikubaliana na sababu hizo za pingamizi na pamoja na mambo mengine, amesema kuwa inawanyima urithi wanaye bila kutoa sababu, na kwamba ziliiingizwa mali za mke wake mkubwa.

Kwa uamuzi huo, Jaji Mlyambina hakuwateua waombaji hao kuwa wasimamizi wa mirathi na badala yake aliwateua Abdiel na Benjamini kuwa wasimamizi wa mirathi na akaelekeza mali za marehemu zigawiwe warithi wanaostahili kwa utaratibu wa kawaida kama wa mtu ambaye hakuacha wosia.

Awali mjane wa marehemu Mengi, Jacquiline alijaribu kuingia katika shauri hilo bila mafanikio baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi yake mara tatu.

Credit: Mwananchi

Zaidi soma;

1). Thread 'Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali' Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

2). Thread 'Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi' Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

3). Thread 'Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"' Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

4). Thread 'Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha' Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

5). Thread 'Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka' Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

6). Thread 'TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE' TANZIA: Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE
Mpaka hapa naona kumbe hakuna haja ya kuandika wosia, kutokana kwamba unaweza kufuatwa au kutofiatwa kwa kuzingatia sheria, Basi Bora tu kuacha sheria ichukue mkondo wake..
 
Yes. Hilonlajulikana. Lakini hapa naongelea tamaa kama za jaky. Yaan unioe halaf nitolee macho kipato chako? Biashara zako? Huwa nawaambiaga watu, biashara ya mume wako ni ya mumeo. Siyo yako. Maana mwingine akishaona hivyo tu anapagawa. Anataka aolewe akawe sehemu yake. Wakati umeingia kwenye ndoa ukamkuta. Nachosisitiza kila mtu afanye kazi apate kipato chake halali. Kila mtu anayo familia yake kuihudumia.
True. True.

But mwanamke njia rahisi ya kuwa vema katika ndoa ni kuwa busy katika biashara na mume wako.

Kama ana biashara promising na inalipa, join in kwa ridhaa yake everything will turn out okay. In the past faulo zilikuwa nyingi kwa wanawake ila nowadays wanaume wapo very conscious kuhusu domestic violence kushinda hata wanawake so huwa sioni point ya wanawake kuact or behave hostile or defensive towards wanaume wao katika ndoa.

Women need to be re-educated because they have been miseducated for a while now.
 
Yeye angetakiwa achukue angalau 25, 75 awaachie watoto wakubwa wa marehemu akutumia akili hata kidogo

Kama ule wosia amefoji swali la kujiuliza hata kifo Cha mengi kitakua na utata, ingekua nchi nyingine polisi wangekua na sehemu ya kuanzia
Hii bongo askari wetu ukiachia kupiga tu sijui uwezo gani mwingine wanao
 
Hii kitu huwa hawataki Hawa wanawake wa siku hizi

Wanataka ready made men .

Wanapenda mtelezo hatari

Unakuta means ana hustle kitaa Sana kila akitafuta wa kupanga nae maisha anaambulia vibuti vibaya

Sasa siku akimake life la kueleweka ndio nzi dizaini ya sista Jack hapo wanatokea from nowhere [emoji1][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Unamgeuza incubator tu. Unampa ujauzito unachukua mtoto unalea mwenyewe na housegirl hadi anakuwa mkubwa akianza kwenda sekondari tayari kazi imeisha.
 
wewe bwana acha tantalilia mwanaume gani hapa duniani hapend kukojolea mbususu nzuri kama ya yule mrembo?
pili kama angekuwa hana shida ya mahusiano na yule mlimbwende he coud have easily offered her an offer she cant refuse, ana sasambua mbusus alafu hatujuani.
Haujalewa bado, demu alikuwa na mission yake so akatengeneza mazingira ya kumganda huyo mzee kupitia ndoa na watoto aliozaa nae.
 
Yaani Jack bwana ...muda ule ilikuwa muda mzuri sana kufungua kampuni yake akakimbizana nayo ikasimama..mweee kwenye miti jamani!
Kabisa hakuna wajenzi. Tena angesapotiwa kwa haraka,huku akichota kutoka kwenye kampuni mama,kuvutia kwenye kampuni yake.
 
Dada naona analialia twitter ila na majibu anayapata. Mimi nilitegemea angeelewa makosa yake kwa hiyo hukumu ila bado kichwa ngumu sasa asubiri kutoka damu masikioni maana atapewa 1,000. Mali wanapewa watoto yeye atapewa mkopo wa mtaji.
Ego.... Too much... Big and fat Ego leaves no space for intelligence.
 
Haujalewa bado, demu alikuwa na mission yake so akatengeneza mazingira ya kumganda huyo mzee kupitia ndoa na watoto aliozaa nae.
wewe bwana kama mzee alikuwa hataki mambo ya relationship mbona kwa hela alizokuwa nazo alikuwa anakula mbususu atakayo tena kwa condition kuwa nasassambua na hatujuani.
kwani ukiwa billionea kuna mwanamke hapa duniani atakataa kuwa sexmate wako? kama yupo basi huyo mwenyewe tayari billionea.
 
Watoto ni mali ya jamuhuri, na jamuhuri yenyewe ndio sisi.... So lazima tuwateteee hawa watoto kwa masilahi ya baadae.

Infact kwann tusifile for custody......?!
Hahaha twende front mkuu. Twendee. Sisi ndo jamhuri yenyewe. We are the power. Hatutaki ujinga. Halafu anawatisha watoto wa marehem maskini. I feel so bad for them. Anataka tumia connections zake. Kwa hili tunamuomba jk akae pembeni kbs. Asije kutuharibia furaha
 
Namshangaa anatetea malaya. Tunapenda haki. Hao watoto wa likwelile ni yatima. Anataka nani awasimamie kuwatetea kama siyo sisi ulimwengu? Na tutamsagia kunguni pia mpaka kieleweke.
Unajua hawa wanawake wanaotafuta maisha kupitia miili yao wanapenda sana kujivika vazi la kuonewa mara tu mitikasi zako zikivurugwa.
 
Kabisa hakuna wajenzi. Tena angesapotiwa kwa haraka,huku akichota kutoka kwenye kampuni mama,kuvutia kwenye kampuni yake.
Yaani alikosa washauri kbs yule dada .
Ila hata sasa naona bado anapenda maisha ya uslay sana...uwii umri w 40 yrs jaman uslay wa nn!
 
Back
Top Bottom