Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Dah naomba wajoin hii vita halafu waone balaa lake..... One condition, vita visipiganwe kimya kimya.Kwa nini lkn huyu dada ana nyanyasika?!!
Chama cha wanawake mteteeni mwanamke mwenzenu apate HAKI yake.
Kuna chama cha wana sheria wanawake, kuna taasisi mbali mbali..,
Kwa maoni yangu huyu Mjane wa Mengi anayo HAKI ila kuna hila zinafanyika kuhakikisha kuwa anakosa HAKI yake.
Bado anayo fursa ya kwenda mahakama za juu zaidi, kamwe asikate tamaa, sisi watetezi wa HAKI za walio dhulumiwa au kunyanyaswa tupo nyuma yake hadi atakapo fanikiwa.