Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Lile jumba kulimaintain ni mziki kwanza bibie sijui kama atakuwa na ujasiri wa kwenda kule.huyu dada ana tamaa nyingi ya mali..kwa mila za kichaga atapigwa chini labda ile jumba la msituni mke wapili anapokuja huwa hapati ile heshima ya mke wa kwanza au mali kama yule wa kwanza kwanza kama ni shamba anaenda kutafutiwa pengine yeye na watoto wake na mali atapewa aanziye yeye mwenyewe huko hataingiliwa ila kuingia kwenye ukoo upate ile heshima ya mke ni ngumu na haipo kimila.kwa hio kichaga watoto wa nengi ndio watamiliki labda busara zao wampe kampan huyo mrembo alivuna nini na marehemu zaidi ya watoto na kufilisi hoja inaanzia hapo...watoto watapewa haki ya kusoma kama ukoo ukipata busara..ila mke wa pili haruhusiki kupazoea pa mke wa kwanza.