Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kuna story nyuma ya pazia ambayo inaukakasi sana kuhusu huyu mzee dakika zake za mwisho alipotumia muda mwingi na huyu binti mbali na familia yake.

Cha ajabu nashangaa hawa watoto wakubwa mnasikia baba yenu anaumwa mnamuachia mwanamke ambaye hamna uhakika na malengo yake ya kuwa na baba yenu, ndio amuuguze,kwangu thats a big No.
Mkuu naogopa kuandika mengine. Hakika hali si nzuri. Battle lilikuwepo sema sasa yeye ni mke mwisho wa siku. Ila nakuhakikishia yako mengi ambayo naluambia leo hii jacky angekua ndani. Me viongozi wengine wananiudhi na ustaarabu wao
 
Nadhani mahakama imewapa hao kushika mirathi kwa sasa hadi kikao halali cha mirathi watakapokaa wanafamilia pande zote kisha kufanya maamuzi ni nani atakae kuwa msimamizi wa mirathi then hiyo barua itapelekwa mahakamani ndio muhusika atakaepewa hilo jukumu rasmi ataanza sasa kusimamia kwa mujibu wa sheria.
Mahakama inapoteua msimamizi wa mirathi yote huyo huwa yamekamilika

Soma hiyo hukumu inaeleza wazi kluwa ukoo ulishakaa na kumaliza hilo
 
huyu dada ana tamaa nyingi ya mali..kwa mila za kichaga atapigwa chini labda ile jumba la msituni mke wapili anapokuja huwa hapati ile heshima ya mke wa kwanza au mali kama yule wa kwanza kwanza kama ni shamba anaenda kutafutiwa pengine yeye na watoto wake na mali atapewa aanziye yeye mwenyewe huko hataingiliwa ila kuingia kwenye ukoo upate ile heshima ya mke ni ngumu na haipo kimila.kwa hio kichaga watoto wa nengi ndio watamiliki labda busara zao wampe kampan huyo mrembo alivuna nini na marehemu zaidi ya watoto na kufilisi hoja inaanzia hapo...watoto watapewa haki ya kusoma kama ukoo ukipata busara..ila mke wa pili haruhusiki kupazoea pa mke wa kwanza.
 
Jack kaandika twitter karusha na ripoti ya madaktari inasema mengi alikuwa vizuri kiakili
Huyu dada anahisi sheria watu wanatumia hisia badala ya ukweli katika kusimamisha hoja.

Huyo mzee hata kama hakuwa katika matatizo ya akili yale ya ukichaa, ile hali ya kuumwa tu inampa mzee kama yule less focus ya kuweza kujua anafanya maamuzi gani tena under pressure.
 
Alianzishiwa....but akili yake ilikuwa kula bata tuuu.......alitakiwa atulie kimya....wangemfikiria asingekosa mali za kuanzia, isitoshe anao watoto na mzee.......marafiki zake ndio waliomponza........wacha tumvizie tuone kama mzigo bado kabana....
Si naskia amepata mthungu?
 
True. True.

But mwanamke njia rahisi ya kuwa vema katika ndoa ni kuwa busy katika biashara na mume wako.

Kama ana biashara promising na inalipa, join in kwa ridhaa yake everything will turn out okay. In the past faulo zilikuwa nyingi kwa wanawake ila nowadays wanaume wapo very conscious kuhusu domestic violence kushinda hata wanawake so huwa sioni point ya wanawake kuact or behave hostile or defensive towards wanaume wao katika ndoa.

Women need to be re-educated because they have been miseducated for a while now.
Unajia kama mtu ana tamaa ni ana tamaa tu. Jacky kila kitu alikua anaganyiwa na still anafanyiwa. Services za magari, nyumba, lila kitu. Unataka nini tena zaidi kama si tamaa? Si angepaswa subiria tu mambo yatengamae?
Angetulia angekuja pata malipo mazuri sana sana.

On the other hand, kuna wanawake wana tamaa sana. Ndo ile mtu anaanza misuse resources. Mf. Jacky... kuifurahisha jamii na crew yako badala basi angalau hata kujiwekeza. Wapo wanandoa ambao wana biashara kwa pamoja na wanashirikiana vizuri sana. Na matunda tunayaona. Na ndo maana wanazidi kubarikiwa.
 
Jack ni ntu wa dili
Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i love u
 
Hizi tarehe mbona kama zinakinzana???
Dada kapanic..... Atajitia boko sasa hivi.....hiyo report ya matatizo ya akili imetokana na request gani mbona kama ni special report ya hali ya kiakili ya mgonjwa.

Why hiyo report imeandikwa kipindi hicho mapema sana...... Did kyln know kuwa utafika wakati kutahitajika report kuprove state ya akili ya marehemu au ni taratibu za kihospitali..... Somebody hebu help me think.
 
Sasa Jackie alidhani atashinda kweli mirathi ya kihuni ile iliyosomwa? Tangu lini mtu akawadeny watoto urithi mali ambazo kachuma na mke wake ambaye ni mama wa watoto ho anaowanyima bila sababu za msingi kutolewa?

Isitoshe mali yenyewe kaikuta na yeye alianzishiwa vya kwake!!! Mi naona alishikwa na tamaa tu. Bila mali hi halali ya watoto wa Mercy Mengi mbna Jackie anaishi vizuri tu na mwanaye????

Cha msingi hiyo biashara aliyoanzishiwa aiendeshe vizuri tu. Kama Mengi alikuwa ndiyo sababu ya kushamiri hiyo biashara basi pole zake!!!!
Mali ya mke wa kwanza walishagawana. Na walishapewa watoto makubwa,uridhi wa Mama yao. Wanadai ni mali zilizoachwa na baba wagawane. Na Mzee Mengi alishagawa mali hizo kwa watoto wake wengine, wale wadogo.
 
Kyln alimtongoza mengi. Alikuwa anamfuatilia mazingira anapokuwapo anajipitisha hadi mzee akamuona akamwita demu akapewa kazi ya P.A wa mzee ndio hadi mahusiano yakaanza huko huko.
Uko sahihi kabisa. Jacky alijilengesha na alimpora mwenzake. Yaan ilikua ni target kbs. Ni kwasababu she wanted a gucci life[emoji23][emoji23]

Huko twita ndo amekosea kabisa kupeleka jambo lake. Anakula spana za akina funjo balaa. Ngoja nikamuue tena
 
Hospitali angepata magharama ya kulipa madokta na wahudumu purukushani ni nyingi plus its expensive na very messy work kuisimamisha hadi iwe na jina, ila pharmacy ni rahisi sana plus wateja ni wengi sana kuliko hata wa hospital.

Katika wagonjwa 10 wanakwenda hospital wanapohisi dalili ya kuuumwa sidhani hata 5, but i guarantee u, wagonjwa wote 10 lazima watatafuta dawa aidha baada ya kwenda hospital au hata bila kwenda na kujidiagnos wenyewe kuwa wanaumwa nn.


Sure....ila bado ana nafasi ya kufanya jambo kubwa sana...ana nafasi mno..bas tu anapenda anavyosifiwa tu mzuri mzuri..uzuri unaliwa?
 
Lakin kihalali Jack kama Jack si anatakiwa nae apewe mgawo wake kama mke wa marehemu?
Mmmmmmhmn hiyo itategemea na circumstances za kifo mzee. Kama alihusika kumpa urithi ni kama kumpa mwizi mali aliyokwiba...
 
Unajua hawa wanawake wanaotafuta maisha kupitia miili yao wanapenda sana kujivika vazi la kuonewa mara tu mitikasi zako zikivurugwa.
Ewaaaah. Na habari wanaipataga wakiyaleta mitandaoni. Halaf jacky alivyo kisoda analeta habari za private jui ya afya ya marehem mitamdaoni? Really?[emoji23][emoji23] na ya malukanga atuwekee
 
Back
Top Bottom