miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Mkuu naogopa kuandika mengine. Hakika hali si nzuri. Battle lilikuwepo sema sasa yeye ni mke mwisho wa siku. Ila nakuhakikishia yako mengi ambayo naluambia leo hii jacky angekua ndani. Me viongozi wengine wananiudhi na ustaarabu waoKuna story nyuma ya pazia ambayo inaukakasi sana kuhusu huyu mzee dakika zake za mwisho alipotumia muda mwingi na huyu binti mbali na familia yake.
Cha ajabu nashangaa hawa watoto wakubwa mnasikia baba yenu anaumwa mnamuachia mwanamke ambaye hamna uhakika na malengo yake ya kuwa na baba yenu, ndio amuuguze,kwangu thats a big No.