miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kuna yuke wa kike ndo alikua kipenzi cha baba balaaa. Huyu si kaolewa na watoto wawili keshazalia nje ama. Very arrogantWale watoto wote ni wa marehemu so wana haki sawa. Alitakiwa kuwa mtulivu na kuwa nao makini si lazima sana kuwa nao karibu kama hawakuwa wakimpenda ila alitakiwa asiwaonyeshe ubabe kwenye mali ya baba yao ambayo wao kama watoto wamezaliwa na kuiona ikiongezeka plus watoto wenyewe kiumri ni wakubwa hata kwa kyln wamemzidi kiumri so hakuwa na haja ya kuwazingua.
Tena alitakiwa awe benet sana na yule wa kiume.
Akizidi kuharibu na sisi tutazidi muharibiaAnavyozidi kuvurumua madocument anazidi kuleta complications
Hahaha tukutane kwenye spana malayaNgoja na mimi nikatoe ya moyoni
Imeisha hiyooooShe can’t appeal, she was not a party, alitanguliza chawa wameliwa vichwa!Hata revision Hawezi Kuomba coz she was not a party to the case. Then revision haifuti all decision Incase Kama Unafanya cure Kwenye Judgment.. I stand to be corrected Counsel
Hebu nitag page yake please ili nisichelewe kufika.Hahaha tukutane kwenye spana malaya
Sasa hiyo sympathy anayoipata mbona tamu kama i love u crazy[emoji23][emoji23]Anataka sympathy
Cha kushangaza ni namna gani mnaweza kushauri kuhusu ndoa na affairs za watu wengine, huku za kwenu hatujui pengine zina hali mbaya..mnavyoelezea mtadhani mlikua kitanda kimoja na marehem mengi na mkewe jackline ..
Sijataka fatilia ila ndugu yake alishatoka. Si unajua shayo alifungwa na kakake eh? Akaanza toka shayo ndo akafata mdogowe later huko..Ile damu nilijua haijaenda bure.hivi yule jamaa yake wa kvant ametoka ndani?? Maana ndo alisababisha
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hiyo sympathy anayoipata mbona tamu kama i love u crazy[emoji23][emoji23]
marafiki wamemponza.....ila dada yake mmoja mwenye busara alimshauri sana atulie ale vinono vya mchagga tajiri....yeye anataka avimiliki.....mali usiyoichuma kamwe huwezi kuimiliki....Angeweza fungua hata kampuni ya kuuza perfumes angepiga sana mpunga
K lyn anadate mzungu sasa hv mkuu. Anaitwa ben[emoji23] ben alivyo matako anakujaga kino anashinda. Kuutwa yoteWho is Amorette.....?!
By the way, Arabs and Indians sio wanaume wa kudate nao ila dada zetu hawafahamu. These guys live under family wealth.
Akitoka na gari ni ya familia. Ngumu sana yeye kufanya miamala kizembe zembe.
African slay queens are the only ones who fall prey for these guys bila kujielewa kuwa watatoka patupu.
Hebu nitag page yake please ili nisichelewe kufika.
si za baba yao na mama yao. mi naona sawa tu. wkwa sababu wakati mengi anatafuta hizo mali mzee Ntuyabaliwe anasomea udokta na wazee wetu wengine wanakata mkaa Pori la Pugu hahaaaaaaaa........Tatizo ni kwamba, mke wa kwanza na Mzee Mengi walishagawana mali nusu kwa nusu. Na Mama alikuwa anaudumia mali hizo hadi alifariki dunia. Mali hizo kugawana watoto wawili wa Mama Mengi. Hivyo mali za Mama Mengi walishagawana watoto makubwa wawili wa Mengi na mke wa kwanza. Baada ya Mzee Mengi kufariki, zile mali alizokuwa amebakiwa nazo, ndiyo zinaleta shida. Mengi alidhani wale watoto wadogo wangeridhi hizo mali walizogawana na mke wa kwanza. Sasa yameshindikana. Na mali walizo wagawana za mke wa kwanza, watagawana tena. Mbali na mali za Mama Mercy. Watoto makubwa wanapata zaidi. Mali za Mama. Na mali za Baba.
Kakiwashe. Me tayari[emoji23][emoji23] hii week yote na weekend tutamaliza naye...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wakati wenzake wanajadili wanajadili tatizo yeye analionea wivu tatizo linavyopewa attention hadi anataka na yeye awe tatizo ili apewe attention kama tatizo.....Mbona inakupa shida sana!?
Wanajadiliwa kina Bill na Melinda Gate sembuse Jacky
Wacha watu wajifunze
Yule dada yake nae alikuwapo katika mirathi ya Kylin aliyojitengezea.marafiki wamemponza.....ila dada yake mmoja mwenye busara alimshauri sana atulie ale vinono vya mchagga tajiri....yeye anataka avimiliki.....mali usiyoichuma kamwe huwezi kuimiliki....
Hivi yule ni mzungu au mpemba anajifanya muarabu?!K lyn anadate mzungu sasa hv mkuu. Anaitwa ben[emoji23] ben alivyo matako anakujaga kino anashinda. Kuutwa yote
Where ya at boy?You damn are scared......
kweli damu nzito kuliko....kumbe lao moja.....aibu yao....Yule dada yake nae alikuwapo katika mirathi ya Kylin aliyojitengezea.
saizi ndio anashtuka kumbe kagegedwa bure ha ha ha ha ha mwenyewe alijitaidi kuvumilia akajua ndio ameisha tusuaDah!
Hii ndio iliniacha hoi, kaliingiwa na tamaa sana na inawezekana huo wosia kaliandika kenyewe