Tatizo ni kwamba, mke wa kwanza na Mzee Mengi walishagawana mali nusu kwa nusu. Na Mama alikuwa anaudumia mali hizo hadi alifariki dunia. Mali hizo kugawana watoto wawili wa Mama Mengi. Hivyo mali za Mama Mengi walishagawana watoto makubwa wawili wa Mengi na mke wa kwanza. Baada ya Mzee Mengi kufariki, zile mali alizokuwa amebakiwa nazo, ndiyo zinaleta shida. Mengi alidhani wale watoto wadogo wangeridhi hizo mali walizogawana na mke wa kwanza. Sasa yameshindikana. Na mali walizo wagawana za mke wa kwanza, watagawana tena. Mbali na mali za Mama Mercy. Watoto makubwa wanapata zaidi. Mali za Mama. Na mali za Baba.