Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kwa akili tu zakawaida ilionekana wazi huyo mwanamke ni msanii na alikua ana nia mbaya na mali za huyo mzee.ningeshangaa kama hao wamachame wangeamua kumkalia kimya akajirithisha mali zote mwenyewe kisa tu alikua anampanulia mzee wawatu.wanawake wakati mwingine sio viumbe wazuri.Tuishi nao kwa akili.
 
Sheria mbovu za ndoa ndio zinasabaisha haya yote, na zinahatarisha maisha ya watu na umasikini, mali ni za Mwenye mali na warisi ni watoto wake, wazazi wake kama hawapo ni ndugu zake wa Kuzaliwa tumbo moja, hizi sheria za ndoa hata Ulaya na China walizibadilisha kwani Wanawake walikua wanazitumia kuwaibia Wanaume, na Kwa Sasa kila mtu kwenye ndoa anaingia na mali zake, na ukichuma mali hata kama uko kwenye ndoa mali ni za mtu mmoja, Mpaka atapoamua mwenyewe kumpa Mume au mke, Mwanaume akishakua na pesa wanawake wanaenda kukesha kwenye maombi ili afe wachukue mali. hizi sheria ziondolewe la sivyo Wanaume wasioe hapa, Wachukue wanawake wa Nje na ndoa zikafungiwe huko kwenye sheria nzuri za ndoa, na siku hizi wanawake wako kwenye mitandao ni rahisi kukamilisha kili kitu online.
Kweli kabisa.Wanawake wengi ni wasanii sana.wakati mother angu amefariki kuna mother mmoja alijisogeza sana kwa mzee,akawa anajipitisha pitisha sana kwakujifanya anamjali sana dingi.sasa dingi sababu ya upweke nikaona ameanza kumbonyeza yule mother kimtindo.badae yule mother akawa anamlazimisha dingi waweke mahusiano yao wazi alafu wafunge ndoa.Dingi akaja kutuambia eti nimeona siwezi kukaa mwenyewe nataka kuoa tukamtolea uvivu akawa mkali.maana tuliwaza mzee mwenyewe visukari na presha vinamtafuna kila siku ata kama ni kubonyeza akibonyeza kimoja anakua hoi wiki nzima.nikamfwata yule mother nikamwambia asije akalogwa akajifanya hatujui nia yake kwa mzee wetu.mbona yule mama alikata miguu.Kwahiyo kuna kipindi wanaume tunashikwa upofu tusijue nia za wanawake zetu.unaweza kudhani unapendwa kumbe unahesabiwa siku.tuishi nao kwa akili.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa watoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu baba yao (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.
-
Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
-
Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
-
Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
View attachment 1791204
Mengi ana mtoto anaitwa benjamini??
 
Hawa jirani zetu wana mambo kwa kweli yaani alitaka kuwatosa kabisa wale watoto angejua angejitoa kabisa kwenye mambo ya mirathi ili ndugu wa Mengi wamfikilie vizuri ila alivyokwenda anaweza pewa buku mbili na maisha yakaendelea...
 
Marehemu alifanya maamuzi kwa kutumia kichwa kidogo...acha sharia ifuate mkondo wake

Sheria ichukue vipi mkondo kwa mali ya mtu? Wasia wa marehemu ulitakiwa uhushimiwe, hata kaa kuna wengine inageonekanwa kama wameonewa lakini mwenye mali daima ndie mwenye maamuzi.
 
Shidamoja WACHAGA wakifa

kudhulumu maliza watotoo imekuwa Kama cancer yya kizazi

yaanii..MAJUZI natoka msiban WAMEANDIKA mirathi vizuri muhtasari wanafika mahakaman BABAMDOGO anataka kusimamia show za kakayake

mke YUPO

watoto wanne WAPO
amepambana MPAKA akanya
aakarudi Moshi Bila kuaga

kudhulumiana n shida Sana
hakizawatotoo hazipoteii
Wewe jinga suala la migogoro ya mali za maremu si wachagga tu hata makabila mengi kuna migogoro mingi tu.
 
Mali ya mke wa kwanza walishagawana. Na walishapewa watoto makubwa,uridhi wa Mama yao. Wanadai ni mali zilizoachwa na baba wagawane. Na Mzee Mengi alishagawa mali hizo kwa watoto wake wengine, wale wadogo.
Mali za mke wa mengi unazozisema ni shares tu za mke katika makampuni yao ndiyo walirithi watoto. Shares za mengi ndiyo hizo zenye utata, eti zote apewe jackie! Kwa lipi? Alikuwepo wakati mercy na reginald wanaazisha hizo kampuni? Halafu watoto wa mengi wasiambulie kitu? Haiwezekani. jackie kazikuta hizo mali hivyo hazimhusu. Ndiyo maana kashindwa kesi. Eti mtu akicontest hiyo will apewe shs 1000!!!! We umeona wapi mtu anaandika wosia kama huo???? jackie mhuni tu gold digger. Hata yeye hana akili. Mtu anadeny watoto wake urithi yeye anaona sawa tu? Naona akili yake haina akili!!!! Mtu mwenye akili timamu huwezi kuandika wosia wa kihuni kama ule anbao jackie anadai kaandika mengi. Atakuwa hakuwa na akili timamu wakati anaandika kama kweli aliandika yeye.
 
Back
Top Bottom