Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kosa la kwanza niloona jacky ni mjina alipost wosia mtandaoni Really? Nilimdhalau tangu siku hiyo.
Maybe Jacq thought she was doing the right thing, si unajua ukiwa mjane jamii inakutetea...

Ukishaona mtu anayejidhania ni 'mnyonge' huwa anashirikisha jamii jambo linalo mkwama, ni kama anatafuta public sympathy...
 
Kweli kabisa.Wanawake wengi ni wasanii sana.wakati mother angu amefariki kuna mother mmoja alijisogeza sana kwa mzee,akawa anajipitisha pitisha sana kwakujifanya anamjali sana dingi.sasa dingi sababu ya upweke nikaona ameanza kumbonyeza yule mother kimtindo.badae yule mother akawa anamlazimisha dingi waweke mahusiano yao wazi alafu wafunge ndoa.Dingi akaja kutuambia eti nimeona siwezi kukaa mwenyewe nataka kuoa tukamtolea uvivu akawa mkali.maana tuliwaza mzee mwenyewe visukari na presha vinamtafuna kila siku ata kama ni kubonyeza akibonyeza kimoja anakua hoi wiki nzima.nikamfwata yule mother nikamwambia asije akalogwa akajifanya hatujui nia yake kwa mzee wetu.mbona yule mama alikata miguu.Kwahiyo kuna kipindi wanaume tunashikwa upofu tusijue nia za wanawake zetu.unaweza kudhani unapendwa kumbe unahesabiwa siku.tuishi nao kwa akili.
Kwa hiyo mlimtafutie goma lingine LA kupiga hicho kimoja kwa wiki au mmemuacha apambane na hali yake
 
Ile ishu ya Erasto msuya.ilishia wapi wakuu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Familia ya mwanaume na mwanamke zilikutana ofisi yya mkuu wa wilaya, wakakubaliana kuwa watakwenda kumalizana nyumbani katika vikao vya familia.

Watoto wote wakahamia upande wa mama na ndugu za mama wamewatia sumu balaa. Madogo kwenye kikao wanampa makavu bibi yao mzaa baba na mashangazi as if hawawafahamu.
 
Kinachomtesa Jackline ni tamaa tu, nachojua angekubali kuzungumza na wandugu wale sio vichaa lazima wangemtazama

Kidogo ambacho angepata sio kidogo kwa maana ya udogo hasa kwenye jamii zetu

Mfano tu apewe bilioni moja halafu huduma zote za watoto wasimamie ndugu au kampuni angeishi vizuri sana kwanza angejenga mahusiano mazuri ambapo hata akikwama angesaidiwa

Kwa sasa amejenga uadui
 
Itakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini
🙌🙌 kweli yetu yanatushinda
 
Dah naomba wajoin hii vita halafu waone balaa lake..... One condition, vita visipiganwe kimya kimya.
nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.

KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.

HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?

Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
 
Sheria ni sheria, na si suala la mihemko na hisia, tumeelewana?
 
nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.

KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.

HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
hizo mali si kazikuta au naye kuna Mali ambazo wamezalisha pamoja kwa muda huo wa miaka mitano
 
Itakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini

Lazma wewe Utakua ndio mwanasheria wa Jacky
Pole mwaya😂😂😂😂😂😂😂
 
Sheria ichukue vipi mkondo kwa mali ya mtu? Wasia wa marehemu ulitakiwa uhushimiwe, hata kaa kuna wengine inageonekanwa kama wameonewa lakini mwenye mali daima ndie mwenye maamuzi.
Katika hili ntasimama Jacklyn, mzee aliamua kumuachia mali zake mwenyewe wale wengine walishachukua chao mapema!! Huu ni uonevu na hakika karma itawapata!
 
Hivi na yeye kaambukizwa "malukanga"

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Eeh... na najiuliza huko uingereza kama bado anaenda kuchange naniliu bado ama lah na sijui nani anamgharamikia kwa sasa. Dunia imenyamaza ila anataka watu waongee.

Ila dada mrembo kama yule kisa mali ndo akajirisk vile? Mbona siwezi jamanj?
 
Itakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini
Wewe mwwnye ndoa uko na sisi tusio na ndoa kumdiscuss Jack kahaba.

Si uende ukampe Mbususu mme wako na yeye aandike Wosia uwe Billionaire.

Au umeolewa na Chid Benzi Kwangu pa kavu
 
nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.

KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.

HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?

Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
Darasa la 7 utawajua tu.

Endelea kuota zwazwa wewe.
 
Back
Top Bottom