IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Wanawake wengine bana anatumia udhaifu kuvuna mali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee anammbato kwenye lile geto lenye mafuriko, Jacky fala basi...au hana hela ya guest?K lyn anadate mzungu sasa hv mkuu. Anaitwa ben[emoji23] ben alivyo matako anakujaga kino anashinda. Kuutwa yote
Maybe Jacq thought she was doing the right thing, si unajua ukiwa mjane jamii inakutetea...Kosa la kwanza niloona jacky ni mjina alipost wosia mtandaoni Really? Nilimdhalau tangu siku hiyo.
Kwa hiyo mlimtafutie goma lingine LA kupiga hicho kimoja kwa wiki au mmemuacha apambane na hali yakeKweli kabisa.Wanawake wengi ni wasanii sana.wakati mother angu amefariki kuna mother mmoja alijisogeza sana kwa mzee,akawa anajipitisha pitisha sana kwakujifanya anamjali sana dingi.sasa dingi sababu ya upweke nikaona ameanza kumbonyeza yule mother kimtindo.badae yule mother akawa anamlazimisha dingi waweke mahusiano yao wazi alafu wafunge ndoa.Dingi akaja kutuambia eti nimeona siwezi kukaa mwenyewe nataka kuoa tukamtolea uvivu akawa mkali.maana tuliwaza mzee mwenyewe visukari na presha vinamtafuna kila siku ata kama ni kubonyeza akibonyeza kimoja anakua hoi wiki nzima.nikamfwata yule mother nikamwambia asije akalogwa akajifanya hatujui nia yake kwa mzee wetu.mbona yule mama alikata miguu.Kwahiyo kuna kipindi wanaume tunashikwa upofu tusijue nia za wanawake zetu.unaweza kudhani unapendwa kumbe unahesabiwa siku.tuishi nao kwa akili.
Familia ya mwanaume na mwanamke zilikutana ofisi yya mkuu wa wilaya, wakakubaliana kuwa watakwenda kumalizana nyumbani katika vikao vya familia.
🙌🙌 kweli yetu yanatushindaItakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini
anambato maana yake Nini?Wee anambato kwenye lile geto lenye mafuriko, Jacky fala basi...au hana hela ya guest?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,Dah naomba wajoin hii vita halafu waone balaa lake..... One condition, vita visipiganwe kimya kimya.
Sheria ni sheria, na si suala la mihemko na hisia, tumeelewana?nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Ila mayatima hawanyanyasiki?Jack akate rufaa.
Wajane wananyanyasika sana
hizo mali si kazikuta au naye kuna Mali ambazo wamezalisha pamoja kwa muda huo wa miaka mitanonitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Wosia feki? Wosia ulio kinyume na sheria? Tuheshimu uvunjaji wa sheria?Sheria ichukue vipi mkondo kwa mali ya mtu? Wasia wa marehemu ulitakiwa uhushimiwe, hata kaa kuna wengine inageonekanwa kama wameonewa lakini mwenye mali daima ndie mwenye maamuzi.
ndio maana nlisema sio wote blaza!!
Itakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini
Katika hili ntasimama Jacklyn, mzee aliamua kumuachia mali zake mwenyewe wale wengine walishachukua chao mapema!! Huu ni uonevu na hakika karma itawapata!Sheria ichukue vipi mkondo kwa mali ya mtu? Wasia wa marehemu ulitakiwa uhushimiwe, hata kaa kuna wengine inageonekanwa kama wameonewa lakini mwenye mali daima ndie mwenye maamuzi.
Eeh... na najiuliza huko uingereza kama bado anaenda kuchange naniliu bado ama lah na sijui nani anamgharamikia kwa sasa. Dunia imenyamaza ila anataka watu waongee.
Wewe mwwnye ndoa uko na sisi tusio na ndoa kumdiscuss Jack kahaba.Itakua vyema mjadili ndoa zenu, ya jacky na marehem mumewe anayejua ni marehem na jacky tu, mnavyomshauri ndio mana nasema pengine mlikua mnalala nao kitanda kimoja. Shame! Unasema ya melinda na bill ..hahaha mwanamke mwenzako unamjadili na sasahivi ashakua bilionea, unajadili ndoa yake na kuichambua vizuri utafaidika nini
Jamaa anamfataga anamtembelea hapo. Sasa tytaaminije hawafanyi maasi mule ndaniWee anambato kwenye lile geto lenye mafuriko, Jacky fala basi...au hana hela ya guest?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Darasa la 7 utawajua tu.nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.