Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wadangaji mbona wanafanya kazi yao ile. Kukata mauno siyo kitu kidogo🤣Wadangaji wajifunze kufanya kazi kama wengine, hakuna cha bure duniani.
Tena mauno umkatie mtu mwenye umri wa baba yake. Bibi yangu aliniambia pesa kuitoa mfukoni mwa mwenzio iwe mfukoni mwako si shughuli ndogo.Hata wadangaji mbona wanafanya kazi yao ile. Kukata mauno siyo kitu kidogo🤣
Alizuga kuanzisha biashara ya furniture, Amorrette akawa anahonga mpaka Forbes wanamtangaza kwenye exhibitions za kibiashara anaenda Dubai kumbe zilikuwa mbwembwe tu.Tena mauno umkatie mtu mwenye umri wa baba yake. Bibi yangu aliniambia pesa kuitoa mfukoni mwa mwenzio iwe mfukoni mwako si shughuli ndogo.
Wata appeal , ngoja tuone. Huyo Ntulabaliye alikuja kurithi mali, maana katika hali ya kawaid huwezi kulipenda lizee la uri huo kama hana mali. Kuna driving force ilimleta pale. Uzinzi mbaya na lizee likaingia mkenge!Case Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa
View attachment 1791249
View attachment 1790872
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa watoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na Benjamin Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi ya mali alizoacha marehemu baba yao (Reginald Mengi). Katika uamuzi huo, mahakama imeagiza usimamizi na mgawanyo wa mirathi uanze mara moja.
Akisoma hukumu hiyo yenye kurasa 72 mnamo Mei 18/2021 Jaji Mlyambina alisema kuwa wosia wa mwisho wa Marehemu Dkt. Mengi ulioandikwa Agosti 17,2017 haukuzingatia misingi ya kisheria ya uandishi wa wosia.
Katika shauri hilo watoto wa marehemu Dkt. Mengi walikuwa wakipinga wosia uliodaiwa kuachwa na Marehemu baba yao kwa madai kwamba wosia huo haukufungwa ‘sealed’ na saini iliyopo kwenye wosia huo ni tofauti na sahihi zingine za Marehemu na pia kwa wakati huo baba yao hakuwa na uwezo wa kuandika kutokana na matatizo makubwa ya kiafya aliyokuwa nayo tangu mwaka 2016.
Aidha watoto hao walidai kuwa wosia uliwabagua na urithi wote aliachiwa mkewe mpya na watoto mapacha na hivyo wosia huo ulikuwa kinyume na sheria sababu uliwabagua watoto bila sababu za msingi na za kisheria.
Kwani hata wanajua kuyakata, basi tu alikuja kuchuma/kurithi mali maana alijua kuwa katika natural course of events, Mengi is to die earlier...Tena mauno umkatie mtu mwenye umri wa baba yake. Bibi yangu aliniambia pesa kuitoa mfukoni mwa mwenzio iwe mfukoni mwako si shughuli ndogo.
Wanasheria ni pesa yako tu,alafu wanafanya unavyotaka wwe,siyo wakupe ushauri wa kisheria, maana wanajua wakikushauri na kukuambia ukweli watakosa mpunga wako!!Halafu kuna mwanasheria kagonga muhuri wake...
Afu bila aibu eti "Atakayekata rufaa mahakamani na kushinda, apewe tshs buku moja" ... Yaani mwendazake aliamua kabisa kuipangia mahakama....???Dah kulamba 100% ya urithi hata watoto wa primary level wanaweza kususpect kuwa something is fishy about the whole thing.
Aiseee acha kumpa stress huyu Dada za makasiriko.Kwani tatizo Ni Nini so nenda kwa Mange au Google au huko huko mahakamani? Imekuwa kesi sasakama hujui kiswahili, Title umeandiakje na umeipata wapi
Nenda kwa Mange InstagramMwenye nakala ya hukumu wakuu.....
mtusi yule kama kagame wakatili sanaImeisha hiyo..Jacq ana roho mbaya sana. Yan alitaka wale watoto wa mke wa kwanza wapewe buku moja tu!
Keshakata Mara 8 vimeshindikanaMjane ana haki ya kukata rufaa!!
Dah!Imeisha hiyo..Jacq ana roho mbaya sana. Yan alitaka wale watoto wa mke wa kwanza wapewe buku moja tu!
Hakuwa Yeye ulichapishwa na wanasheria kanjanja we uliona Ni mwandiko Wake?Hakuna mgonjwa anayeweza kuratibu na kuandika wosia wa kiwango chenye weredi na uhakika kwa kiwango kile. Tuache masihara, ule ni wosia wa mtu mwenye akili timamu na akili kubwa sana.
Tuseme tu, wosia alioandika Mengi akiwa na akili timamu umekataliwa na Mahakama.
Ndo kilichotokea.Huo ndo ukweli kwanza mikono yake ilikuwa inatetemekaInawezekana pia uliandikwa yeye akapelekewa kutia saini tuu
Kwamba hata wakienda mahakamani wapewe bukuHakuna mgonjwa anayeweza kuratibu na kuandika wosia wa kiwango chenye weredi na uhakika kwa kiwango kile. Tuache masihara, ule ni wosia wa mtu mwenye akili timamu na akili kubwa sana.
Tuseme tu, wosia alioandika Mengi akiwa na akili timamu umekataliwa na Mahakama.