Wosia wa Spika Mstaafu Samweli Sita. Zanzibar wakijifanya kiburi, wazimieni Umeme

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika.
Your browser is not able to display this video.

MY TAKE;

Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma.

Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote ni Wazanzibar ni hiki kikombe wakinywe
 
Huyu dingi ndiye alimvua ubingwa Bashite
 
Shida mshika switch ni wa huko kisiwani. Lol
Kabakiza miaka mitatu tujitawale. Zanzibar tanganyika wataisikia kwenye bomba. Jata waue kiongozi wetu tena wakidhani watapewa urais itakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…