Wosia wa Spika Mstaafu Samweli Sita. Zanzibar wakijifanya kiburi, wazimieni Umeme

Hawa ndiyo viongozi wazalendo walioitetea Tanganyika.kwa sasa yamebaki mambulula tu.
Sitta alikuwa anajielewa. Unaambiwa kuna siku Waliandana hadi Ikulu, Nyerere akamtandika viboko 12 akamwambia rudi Shule ukasome.
 
Tena akiingia wa kwetu, akataifishe kila kitu cha kule na Muungano auvunje kabisaa.
Tunaweka kizuizi mlango wa Nungwi kama ilani na Marekani. Hadi waseme wapi walificha miili ya ndugu zetu
 
Ila Nyerere kazingua sana.
Alidhani amempata kumbe alipatikana.
Nyerere hana shida acheni Mzee wangu apumzike kwa Amani. Kuna Mambo mengi yaliondolewa kwenye Katiba
na Zanzibar kupewa Mamlaka ya kuamua kila kitu. Nyerere kwa kiasi kikubwa Aliacha Tanganyika yenye nguvu na Zanzibar yenye Utegemezi kwa babaye Tanganyika mfano mzuri unaotumiwa hadi sasa ni Tanganyika kuamua Rais wa Zanzibar.
 
Hilo suala hata mimi Leo nikiwa kiongozi nazima umeme maana kwanza hawalipi Tanesco wanawadai pesa nyingi mzigo wote tunabeba wa Tanganyika
 
Cable zote zimepita Kunduchi nikwenda kukatata tu
 
R.I.P Mwalimu Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…