Wosia wa Spika Mstaafu Samweli Sita. Zanzibar wakijifanya kiburi, wazimieni Umeme

Zanziba wakorofi.. Yaani kama mnavyomuona Samia, ndivyo wazanzibar walivyo
Ukorofi wao unatokana na sisi (Tanganyika) kuwadekeza. Hawa jamaa watazidi kutupanda vichwani.

Kipindi Cha nyuma wao walikuwa hawautaki muungano, ila sasa hivi sisi watanganyika ndio hatuutaki muungano wao wanautaka.
 
Na ndiye alimpandisha chart kwenye siasa za CCM. Mzee amemla sana Bashite
Hiyo ya kumla sina ushahidi. Ninachojua Bashite alikuwa anaishi kwa Samweli Sitta. Na ndiye alimsomesha.. Na ndiye alimpangishia Getto.. Kuhusu kulana sijui. Alisema anamsaidia kama mwanaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…