Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako.
CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni.
Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi.
Be it in the process make CCM first and be yourself on expressing your values; jamaa wanakusoma.
Hii ni kwa vijana wa CCM ambao hawajui kujiuza.
Just sad