Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Na wengi wanatumia majina bandia wanajiuzajeNi ‘wosia’ ushauri
Labda kama kuna tofauti ya interpretation nisahihishe, nirekebishe mantiki.
Vijana wa CCM wengi humu wamekuwa chawa, badala ya kuelewa independent thinking ya maslahi ya chama ndio nguzo yao.
It’s sad
CCM sio wapuuzi watakujua tu.Na wengi wanatumia majina bandia wanajiuzaje
Kuna vijana wanaandika sana na unaona dah huyu aendi.kwanini iwe ni wosia na sio ushauri
kwanini ujiuze na usitafute maisha yako mwenyewe
Na je kujiuza unakosema nihuku kunawa nawa mikono na kulamba miguu
Kwamba watu wote wa jamiiforums wenye majina fake ccm wakujue mbona mnawapa mamlaka ambayo hawanaCCM sio wapuuzi watakujua tu.
CCM inathamini uwezo kwanza, labda ugumu ni kuwabaini wote.Hakuna kijana mwenye Akili timamu akatamani kuwa ccm labda akili yake iongozwe na Tumbo..
Ndugu JF ni shida.Kwamba watu wote wa jamiiforums wenye majina fake ccm wakujue mbona mnawapa mamlaka ambayo hawana
Sawa sawa kwa apo nimekwelewaKuna vijana wanaandika sana na unaona dah huyu aendi.
Ilhali humu kuna vigogo wazito ambao wanatafuta viongozi wa CCM wa kesho.
Ndio hao ninao walenga, wanasomwa na watu wazito.
Make CCM first and also be independent; kama chawa wanao wengi,
Onyesha uwezo wako jamaa wanakusoma.
Hakuna anayetaka teuzi kwa kuwasifusifu viongozi hali ya kuwa wanakosea..CCM inathamini uwezo kwanza, labda ugumu ni kuwabaini wote.
Maana yake wako tayari kutafuta uwezo popote na JF jukwaa la siasa ni recruitment area.