Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Acha utani we jamaa, japo robo??
Binafsi Messi reminds me of Ronaldinho
 
Miaka mi5 mfululizo kinara wa ufungaji ucl,10 goals kuanzia robo fainali tena si na celtic bali vs bayern,atletic,juve.bado msimu huu kwenye ucl amemzidi goals na assist huyo Messi...Messi na Ronaldo ni wachezaji bora,kila mtu ni zaidi ya mwenzake kwa muda wake.Ronaldo ni zaidi ya messi,Period.
 
Kila mmoja ni mzuri kwa namna yake. Kila mmoja ana dribbling style yake, Messi ana dribble mpira zero distance while Ronaldo keeps some distance with a ball lakini wote wanawalamba chenga mabeki kila mmoja kwa namna yake. Na wote wameshapitia vipindi vya kufichwa uwanjani kiasi kwamba unajiuliza kama yupo in the pitch. Messi yupo vizuri ki-mnyumbuliko kuliko Ronaldo. Wote wanafunga magoli ya mbali na karibu, wote wana tuzo nyingi za kila aina, wote wanazidiana kwa takwimu kwenye mashindano mbalimbali wanayoshiriki pamoja.
Kwa ujumla wote ni wakili kila mmoja kwa namna yake.
 
Acha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
 
Umetisha sana mkuu
 

Hapa utakua unamzungumzia Ronaldinho na sio Messi.
 
Mkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?

Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"

Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.

Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.

Toa facts usitoe pove mkuu
 
Ata wewe ni mshamba pia tena kutoka kolomije misungwi chobingo
 
Mchezaji wa dunia nyingine anafanya mambo ya kawaida sana.

Mchezaji wa Kawaida anafanya mambo makubwa na mazito.

Duuh!. Pole sana. Cr7 ni habari nyingine.
 
Hebu usitufananishie jehanamu na pepo
 
Gwiji wa ligi zaidi ya mbili, yaan niishie hapo kama unauwezo wa kufikiri utang'amua.. CR7[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Inasaidia nini sasa? Mi sioni maana hapa, ni kama vile kushindanisha wabishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…