tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Jamaa unajua sana ni utaalamu tuSijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
This is the worst biased thought in this domain.Ronaldo yupo juu Messi anabebwa kuna wakati messi alipewa uchezaji bora bila sababu. Ronaldo akahoji why wakasema timu yake imekuwa mabingwa ronaldo akanote hapo ronaldo alikuwa juu haswa kisoka next season Real ikawa bingwa ronaldo akasema vigezo nimetumiza ilikuwa kasheshe maana Waitaka tena kumpendelea Messi ikawashuka shu.. Messi kubebwa kulizidi even Mchezaji bora wa Dunia wa world cup kule Brazil alistahili Roben wakampa Messi kiupendeleo alizomewa uwanja mzima na tuzo hakudiriki kuinyenyua pumbavu zake... na aliirejesha mwenyewe kwa kujistukia ati fifa wakagoma. Aibu kuu
Juve wabovu na wazeeAcha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Nikwambie tu messi mchezaji mzuri na bora lkn mpk umri aliofikia na yote aliyobahatika kufanya kwenye mchezo wa soka km macho yako yanavyoona ila bado tu Christian Ronaldo anaendelea kuteka mamilioni ya mashabiki duniani basi yeye pia ni mzuri na bora piaSijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Let's me reminds you messi has won 4 champions league as Ronaldo did past few daysMkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?
Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"
Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.
Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.
Toa facts usitoe pove mkuu
ana force then ana mpita Genius....hahahamESSI NI KIPAJI, CR ANAFORCE
KAMA INGEKUWA DARASANI BASI MESSI NI GENIUS THEN RONALDO NI MWENYE AKILI ZA KAWAIDA ANAYEHITAJI KUKESHA ILI AFAULU
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Nilitamani nichangie.......ila huwezi kuwa mjuvi wa kila kitu, siasa wewe, mpira wewe, mahusiano wewe, uchumi wewe, teknolojia wewe, kiiiiila kitu wewe halafu wengine kwako hawajui kitu......
Hilo tu ndo linanifanya nipite bila kuchangia hapa.
Swaumu ya leo ilikuwa kali eeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni worst hebu toa yako nikupime na kipimio cha tezi dume...This is the worst biased thought in this domain.
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Povu jiiiiiingi, orodhesha alivyo navyo messi ambavyo alifanya miaka 3 iliyopita ma ronaldo anafanya sasa!Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Mashoga mmeonanaYale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.
Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!