Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Jamaa unajua sana ni utaalamu tu
 
Ronaldo yupo juu Messi anabebwa kuna wakati messi alipewa uchezaji bora bila sababu. Ronaldo akahoji why wakasema timu yake imekuwa mabingwa ronaldo akanote hapo ronaldo alikuwa juu haswa kisoka next season Real ikawa bingwa ronaldo akasema vigezo nimetumiza ilikuwa kasheshe maana Waitaka tena kumpendelea Messi ikawashuka shu.. Messi kubebwa kulizidi even Mchezaji bora wa Dunia wa world cup kule Brazil alistahili Roben wakampa Messi kiupendeleo alizomewa uwanja mzima na tuzo hakudiriki kuinyenyua pumbavu zake... na aliirejesha mwenyewe kwa kujistukia ati fifa wakagoma. Aibu kuu
This is the worst biased thought in this domain.
 
mtu kacheza ligi moja tu halafu timu ya taifa hamna kitu eti unamwita bora hamna kith hapo .kwanza ili nimkubali mm namtaka akaacheze UENGEREZA.NA PIA AKACHEZE NA LIGI YA ITALY HAPO NITAMWITA BORA .HUWEZI KUMLINGANISHA NA RONALDO AMBAYE AMEANZA LIGI YA URENO .KAENDA ENGLAND NA PIA KAMA LIZIA SPAIN.SAFI CRISTIANO NITAMSHABIKIA MPK KUFA KWANGU
 
Acha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Juve wabovu na wazee
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Nikwambie tu messi mchezaji mzuri na bora lkn mpk umri aliofikia na yote aliyobahatika kufanya kwenye mchezo wa soka km macho yako yanavyoona ila bado tu Christian Ronaldo anaendelea kuteka mamilioni ya mashabiki duniani basi yeye pia ni mzuri na bora pia

Si kweli kwamba anachofanya Ronaldo sasa hivi ati Messi alishafanya kwa sababu:
-Ronaldo alikuwa wa kwanza kushinda tuzo za uchezaji bora kabla ya Messi

-Ronaldo alikuwa wa kwanza kuwa mfungaji bora wa ligi premier(kipindi anacheza man utd)kabla ya Messi

-Ronaldo alikuwa wa kwanza kuwa mfungaji bora wa champions ligi (kipindi anacheza man utd)kabla ya Messi

-Ronaldo ndiye wa kwanza dhidi ya Messi kuishindia taji kubwa taifa lake (kombe ya mataifa ya ulaya)il hali Messi alishapata nafasi hiyo mara tatu na akashindwa na mpk sasa bado anapuyanga kwa hilo

-Na juzi Ronaldo pamoja na wachezaji wenzake wa Madrid,amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda "back to back" uefa champions league tangu kombe hilo lipewe jina hilo 1990

Labda na wewe utoe orodha ya yale ambayo Messi alishafanya ila Ronaldo anapitiamo humo tu

Mwisho,Messi na Ronaldo wote bora na kila mmoja ana sehemu ambayo anamzidi mwenzie debate kuhusu ronaldo na messi ishapitwa na wakati coz haina conclusion kwa sasa kila shabiki abaki kushabikia upande wake mpk pale watakapo retire
 
Mkuu point yako sijaona zaidi ya kuona majungu na masimango. Nenda kwa facts brother. Kila mmoja ana mchango wake kwenye timu yake. Messi ni top score La Liga lakini Ronaldo ni top score kwenye timu yake. Lakini mwisho wa siku nani kaondoka na kombe.?

Ronaldo kaifikisha timu yake fainali ya Europa na wakachukua kombe Messi kaingia mara ngapi fainali ya copa Amerika. "THE BAD GUYS NEED TO GET LUCKY EVERY TIME", "THE GOOD GUYS JUST NEED TO GET LUCKY ONCE"

Hesabu Ballon d'or zao kisha nipe jibu haraka sana. Halafu unipe na umri wao kila mmoja.

Binafsi wote ni wakali ila Ronaldo ni mkali wa wote. Na sitaacha kuonyesha mahaba ya dhati juu ya huyu mtu.

Toa facts usitoe pove mkuu
Let's me reminds you messi has won 4 champions league as Ronaldo did past few days
 
mESSI NI KIPAJI, CR ANAFORCE
KAMA INGEKUWA DARASANI BASI MESSI NI GENIUS THEN RONALDO NI MWENYE AKILI ZA KAWAIDA ANAYEHITAJI KUKESHA ILI AFAULU
ana force then ana mpita Genius....hahaha
 
Nilitamani nichangie.......ila huwezi kuwa mjuvi wa kila kitu, siasa wewe, mpira wewe, mahusiano wewe, uchumi wewe, teknolojia wewe, kiiiiila kitu wewe halafu wengine kwako hawajui kitu......

Hilo tu ndo linanifanya nipite bila kuchangia hapa.
 
WANAOMSHAKIA RONALDO WANAHESABU IDADI YA MAGOLI, NAMNA YA KUPIGA MASHUTI NA PIA KUKAA KWENYE NAFASI KUFUNGA, BETTER ON HEADING THE BALL
Kwasasa ronaldo ni CF from LMF/RMF

MESSI = Dribling, assists, creative playmaker, dribling from CM/RW to attacking area

Messi = AMF/RMF

Ronaldo wa sasaivi CF sio wa kumfananisha na messi.. vtu viwili tofaut

Ni kama unamfananisha Aguero na KDB
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.

Swaumu ya leo ilikuwa kali eeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilitamani nichangie.......ila huwezi kuwa mjuvi wa kila kitu, siasa wewe, mpira wewe, mahusiano wewe, uchumi wewe, teknolojia wewe, kiiiiila kitu wewe halafu wengine kwako hawajui kitu......

Hilo tu ndo linanifanya nipite bila kuchangia hapa.

Sasa Mkuu kama nimebarikiwa na Mwenyezi Mungu Mimi nifanyeje? Tuliobarikiwa duniani na Mwenyezi Mungu kwa Kipindi hiki ni wawili tu Mimi GENTAMYCINE na Lionel Messi. Kama Wewe Mwenyezi Mungu hakukubariki ni shauri yako kwani labda Mungu aliona una ukengeukaji uliotukuka hivyo akaamua kukuacha na kubaki na huo UPOPOMA wako.
 
Wa messi abaki wa messi na wa ronaldo abaki wa ronaldo hamna haja ya kubishana
 
This is the worst biased thought in this domain.
Kama ni worst hebu toa yako nikupime na kipimio cha tezi dume...

Kuna la uongo nililoongea hapo we bwege...

Naona umeshakuwa shabiki wangu... nimekukuna eenh
 
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.

Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.

Nawasilisha.
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.

Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!
 
Povu jiiiiiingi, orodhesha alivyo navyo messi ambavyo alifanya miaka 3 iliyopita ma ronaldo anafanya sasa!
Ronaldo kashinda world player na pia kashinda champions league na timu tofauti na nchi tofauti na alishiriki kisawasawa kuibeba timu na pia kaibeba timu ya taifa kupata trophy, hawalingani ila kwenye medals ronaldo yuko mbali zaidi.
Messi yuko poa ila kama anatoka sayari nyingine na ronaldo anatoka huko huko.
 
Yale magoli aliyofunga Christina Renata sijui Ponado, hata mimi ningeweza tu kutega kitambi changu mpira ukanigonga ukaingia golini. Yule mshamba tu na mjivuni.

Lionel 'Leo' Messi akikufunga goli huwa ni tamu lililoambatana na chenga kiasi hata wewe uliyefungwa unafurahi...Messiah!
Mashoga mmeonana
 
Mashabik wengi wa barcelona bado mna hangover ya mogoli tulowafunga "MASHOSTI" wenu wa Turin.
 
Back
Top Bottom