A
Anonymous
Guest
Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo?
Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa.
Tunaomba mfumo ubadilishwe kabla ya kuanza interview zilizotangazwa.
Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa.
Tunaomba mfumo ubadilishwe kabla ya kuanza interview zilizotangazwa.