A
Unaandika uzi na kujijibu mwenywe, hii ni dalili ya matatzo ya akiliUpo sahihi mkuu wazo zuri system itoe results instantly baada ya kusubmitt tu
Mbona jina lake halifanani na la muanzisha uzi?Unaandika uzi na kujijibu mwenywe, hii ni dalili ya matatzo ya akili
Katumia utambulisho usiojulikana lkn ni yeyeMbona jina lake halifanani na la muanzisha uzi?
Hii ni kudhihirisha kwamba hawa Vijana wamekata tamaa wameanza kuukataa mpaka mfumo mfumo ukianza kutoa matokeo palepale wataanza kusema mfumo haupo fair uonyeshe na sababu za majibu hayo kua sahihi mwisho watataka mfumo uwe AI-generated yaan kila swali ulilokosa unapewa sababu za kukosa hapohapo kwa hio unaondoka ukiwa umeridhika kwamba ulichojaza umeenda chakamatokeo wanapanga wenyewe.hakuna kitu pale
Vijana mnaonekana jinsi gani mmekata tamaa sasa hata mfumo hamuuamini tena kwa hio mfumo unachagua watu na kuwapa marks kisha watu usiowataka unawapa marks za uongo tangu lini? Sijakataa kwamba haiwezekani ila sitaki kuamini km wanaweza kua na mfumo wa namna hio yaan uwateme tu vijana bila sababu kwamba mfumo unasetiwa majina yaan haya majina yapewe marks hizi halafu haya majina yapewe marks hizi haya tunawataka hawa na hawa hatuwataki ndio mnamaanisha hivyo?Upo sahihi mkuu wazo zuri system itoe results instantly baada ya kusubmitt tu
Mboni vijana mnataka kudhua taharuki kwa hio mfumo umewafanyaje yaan kwa mfano mngeelezea vizuri mfumo unavyowafanya mpaka mmekata tamaa kiasi hiki kwanini lakini au mnataka mrudi kwenye makaratasi?Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo?
Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa.
Tunaomba mfumo ubadilishwe kabla ya kuanza interview zilizotangazwa.
Acha bangeKatumia utambulisho usiojulikana lkn ni yeye
Taila uyo mzee achana naeMbona jina lake halifanani na la muanzisha uzi?