Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
THE SECRET TERRORISTS - ROMAN CATHOLIC CHURCH
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kua na hiyo picha tuione?Hakuna kitu kinachotokea bila sababu
Labda nikuulize we ulizaliwa kwa sababu gani?
Mi tangu mwanzo nipo mdogo wakati najifunza,
Somo kuhusu kwa nini kuna majanga yanatokea na yanaua watu wengi sana..!
Niligundua kila kitu kinatokea kwa sababu?
Mwisho wa siku niligundua kuna matukio yaliopangwa tangu zamani sana
Ni sawa na picha ya utawala wa NAZI iliyopigwa zamani sana
Lakini katika ile picha alionekana jamaa mmoja akiwa modern camera
Ambayo kwa wakati huo ilikuwa bado haijatengenezwa,!
Kwa hiyo amini usiami mambo mengi ni ya kutengeneza.
Na kuhusu elimu ya hizi taarifa za namna hii sijaanza kujifunzi juzi au jana,
Ni muda mrefu kwa kuwa huwa natumia kauli ya.....
Kile unachokiona na kukifikiria hakiwezi kuwa hivyo amini ndivyo kilivyo ila wewe tu umeziweka fahamu zako kifungoni kuto ziacha ziwe huru..
Kwa kuwa tayari ulishapandikiziwa taarifa ya kwamba...
Sababu ya WW1 ni hii na ukafundishwa darasani basi tayari walishafunga
Uwezo wako wa kufikiri na kudadisi.
Heshima kwako mkuu!!!Wakati dunia ilipokuwa chini ya Mtawala mmoja mfano, Mesopotamia au Babylonian empire Chini ya mfalme Super Genius NEBUCHADNEZZAR dunia nzima ya wakati huo ilikuwa chini ya Mungu mmoja, Taratibu moja za dini, Mfumo mmoja wa kiuchumi,hata kama unafanya taratibu zako zako basi ufanye sirini usionekane. Na ilionekana ni rahisi sana kutawala dunia.
Ndio maana Wale jamaa watatu walioelezewa kwenye kitabu cha daniel walipogomea taratibu za dini wakati watu wote wa kila rangi kabila itikadi wakipiga magoti na kukubaliana Walitupwa ndani ya Moto. Na Ikaonekana kuwa na taratibu tofauti ni kama kuhatarisha amani. Na sasa kwa Mujibu wa wafuatiliaji wa mambo yajayo Dunia Inarudishwa kulekule babeli kwa kasi nzuri tu. Watu wa imani wanaamini Dunia inaelekezwa kwenye Vita ya Mwisho ambao Shetani na wafuasi wake wanakwenda kutumia SIlaha zao za mwisho za maangamizi Ila Mungu nae anaingilia kati kwa kwa walio wanyenyekevu kwake. Kwa lugha ya picha hiyo hali imeelezewa Ufunuo 18:2,3 Ila haita dumu muda mrefu Mungu anaingilia Kati na Huo ndio Mwisho wa Historia ya Ulimwengu. Huu ni Mtazamo wa kidini japo kuna Mitazamo mingi maana dunia hii huru tunajadili mambo Kidini, Kiuchumi, Kisiasa, Kimaendeleo na kila Mtazamo Unapingika na unakubalika. Kwa mtazamo wa Kidini Dunia hii kama ni Meli imekalibia Bandarini hakuna kurudi nyuma. Ila kisiasa na kiuchumi ngoja tuendelee kutatua matatizo yetu ta kila siku maana haya Mambo lazima yamuathiri kila mkazi wa dunia kaika nyanja zote za maisha yake ikitokea yametokea.
Forsure mzee mwenyewe nikiyasoma sana nahisi kichwa kuumaHaya mambo yanaweza kukutia uchizi
Sent from myself
Hili ni kweli pia si sauti tu anaweza kimtokea mtu kwenye njoz like mtu flan alie wahi kufu miaka mingi iliopita akijifanya kama yeye.Wanasema shetani ana uwe wa kuigiza sauti ya mtu yeyote duniani,hivi ni kweli? au wanampaisha tu.......................
hapo ndio shetani kapiga kambi kuwalazimisha wakristo wengi waamini Roho haifi. Ili akiigiza kitua ambacho tayari amekufundisha kupitia kanisa uamini.Hili ni kweli pia si sauti tu anaweza kimtokea mtu kwenye njoz like mtu flan alie wahi kufu miaka mingi iliopita akijifanya kama yeye.
Hivi ndivyo tunavyodanganywa na kuanza kufanya ibada za wafu yukizani wanatusikia dua na maombi yetu. Fundisho hili halikuanza leo au jana bali toka Eden, alipomwambia hawa hamtakufa bali mtajua mema na mabaya, mpaka sasa kuna watu hawaamini kuwa mtu anakufa bali husema ndugu yao yupo mahali flani hivyo wakiomba na kuita jina la huyo mtu shetani hujitokeza wakizani ni ndugu yao kumbe ni ibilisi mwenye hila.
Umesema kweliTHE SECRET TERRORISTS - ROMAN CATHOLIC CHURCH
AminaMungu Ni Mwema Wakati Wote
ila1samweli28:8hapo ndio shetani kapiga kambi kuwalazimisha wakristo wengi waamini Roho haifi. Ili akiigiza kitua ambacho tayari amekufundisha kupitia kanisa uamini.
hiyo kauli Shetani aliitoa Mapema kabisa eden 'Hamtakufa hakika' ndio inatumika hadi kesho makanisani na misikitini kupingana na kauli Ya Mungu 'Mtakufa Hakika"
Tunaiita Spiritualism in christianity
Uzi upi huo ,Sababu halisi ya vita hizi kama zinavyofundishwa huku darasani na tumejibia mitihani binafsi huwa naziona nyepesi sana. Haiwezekani jamaa apigwe risasi huko Sarajevo kesho inakuwa ni sababu kubwa ya vita vya dunia. Hiki kilichoandikwa kinaweza kuwa kweli au kikabaki kama changamoto.
Hao wakina Plato na story zao sioni kama wananafasi kwenye Mada hii maana mimi huwa nawachukulia kama watu wadogo ambao almost maarifa yao yote wameyatoa misri. Kuna uzi nimewahi kuelezea hilo. Wamepata umaarufu sana kwa sababu ni Roman empire iliwaadmire sana hivyo kuchukuliwa kama founders wa classical philosophy lkn ni ujuzi wa kimisri. Na fujo zote zilianzia huko.
Yaani kwa ufupi ni wazungu wa kwanza kuwa wajanja wakati ujanja waliutoa misri na wazungu wote wanataka kuiaminisha dunia kuwa hao ndio elite wa dunia.
NAOMBA maelezo ,ni kivipi msalaba uwe pigo Kwa shetani?Mungu ndiyo anazuia hili mkuu....
Yesu alikuja kufifisha kabisa nguvu ya huyu kiumbe muovu kabisa kupata kuwepo....
Kazi aliyopifanya Yesu pale msalabani ni kazi kubwa kabisa kupata kufanyika na ni pigo kubwa kabisa kwa kiumbe huyu muovu kabisa...
Alijua hili na ndiyo maana alitaka kuzuia hili mara kadhaa na akafeli.....
Lakini Wa Nazi hawakuwa wanajulikana mwaka 1871, kwa hiyo nii ni habari ya kutungwa na kuungwaungwa baadaye.Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.
Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na magharibi ikiwemo gazeti la Kiingereza, THE SUN, kitabu Descent into Slavery na kunukuliwa na gazeti la daily mail UK la 16:46GMT, 7 March 2016, http://www.dailymail.co.uk/news/article-3480720/Letter-written-Confederate-officer-150-years-ago-predicted-two-World-Wars-said-Islamic-leaders-West-just-hoax.html#comments pamoja na vyanzo lukuki mitandaoni imeibua utata mkubwa na wenda ikaandika upya historia ya dunia.
Mambo yanayoibuka katika barua hiyo;
1: VITA VYA KWANZA VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vilitengenezwa ili kuusambaratisha utawala wa kifalme wa Czar huko urusi na kupandikiza u communism. RUSSIA hii ya kicommunist iliandaliwa kwa shughuli maalumu hapo baadae kubalance power Kati ya West na East. Mwaka 1917 mapinduzi makubwa ya kijeshi yalitokea urusi inasemekana yalikuwa financed na matajiri wakubwa duniani waliojificha nyuma ya mpango huu na kuwaweka madarakani wasoviet au wakomunist.
Kama ilivyotabiriwa na barua ya nguli huyu mwenye kuhusishwa na chama cha siri cha kiiluminati.
2: VITA VYA PILI VYA DUNIA NA LENGO LAKE
Vita hivi vililenga rasmi kuchochea chuki Kati ya wayahudi na wanazi. Na baadae lianzishwe taifa la kisiasa la kizayuni au israel kwa ajili ya mpango maalum na ndio matokeo ya vita hivyo. Pili ni kuiinua urusi ya kicommunist kuwa na nguvu ya kutosha na kuifanya dunia yenye mataifa mawilli yenye nguvu duniani ili kwa baadae yatumike kwa mpango maalum.
3: VITA HIVI VINAVYOENDELEA SASA VITA DHIDI YA UGAIDI /EXTREMESTS
Vita hivi vinahusishwa na matukio yote ya kigaidi, vita vya Iraq, Afghanistan, matukio kama ya September 11th, na fukuto linaloendelea Sasa huko middle east na mengine mengi yajayo ya aina hiyo. Vita hivi lazima vichochee uhasama Kati ya waarabu na wayahudi wachukiane kiasi cha kila mmoja kumuaribu kabisa mwenzake.
Vita hivi vitaijumuisha dunia nzima, Visambae kimwili, kimaadili, kiroho na kiuchumi kuwaandaa wakazi wa dunia kuwa kitu kimoja na kuwa socially minded. Na ikiwezekana hata kubomoa sheria za nchi yoyote Ile ili kupambana na adui gaidi au mtu yoyote hatarishi kwa ufafanuzi za wahusika.
Hii barua na huu mpango wengine wanaona ina ukweli ndani yake, wengine wanaona ni kitu cha kutungwa na kubuniwa. Na wengine wanabaki katika dilema.
Hii ndio dunia yetu.
Hao sio binadamKuna insight ndogo nilizisoma kwenye kakitabu kadogo kanaitwa the enemy unmasked.
Kinaelezea mipango tajwa hapo juu, pia Kinaelezea undercover wa mipango hii ni modern illuminati ambayo iliasisiwa na jamaa anaitwa Adam weishaupt huyu akiwa financed na Rothschild alianzisha chama hiki may mosi 1776 huko bavaria German.
Na huyuhuyu Adam kinaelezea ndie aliyempa mjerumani mwenzake mwenye Asili ya uyahudi Karl Marx document iliyoitwa communist manifesto na dunia inamuona Karl Marx badala ya walionyuma yake.
Na mambo mengine mengi kama haya ni kweli yanakuwa matured na kuleta hiyo barua tajwa. Hawa ni watu halisi na sio manefili wala machotara wakishetani. Mambo haya yanaweza kuwa kweli, sio kweli au changamoto kwa wakazi wa dunia kulink uhalisia wa matukio na hizi conspiracy zilizotungwa zamani lkn zinamap matukio mengi halisi Sasa.