Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Haya sasa tangia jana ni missile after missile...
Inavyoonekana huyu Diva alikuwa na hamu sana Platnumz amjibu , maana tangia amejibiwa anarukaruka tuuu mara aseme hivi mara vileee, sahizi anaanza kusema Platnumz anamcheat tanasha as if hilo linamhusu..
Kapigwa moja tuu kaja na majibu kibao,,,, yetu macho
Sent using Jamii Forums mobile app