Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinga Magufuli.SISI CHADEMA TUNKUBALIANA NA WWF KWANI HIZO PESA TUKIZIWEKA KWENYE UMEME WA GASI MBONA HIZO UNITI TUNAZIPATAT TU AU WEWE P UNSEMAJE?KWANZA HUAJFANYA RESEARCH KAMA MWANAHABARI NGULI
Siyo kujiondoa tu USA haijawahi kuwa signatory wa hizo conventions. Kazi yao ni kufacilitae nchi maskini kusaini hizo conventions kwa gia ya misaada. Mwisho wa siku wao conventions za climate change na clean air haiwabani isipokuwa nchi maskini. Sometime bora kuwa bold kama hivi.Tunahitaji umeme.
WWF au UN wakafuge wanyama na ecology systems pale Washington DC au Brussels.
Mbona, Trump kajiondoa kwenye mkataba wa Climate Change Summit uliyofanya Paris!?
Waache upoyoyo.
World Wide Fund for NatureNimegee kirefu chake Mkuu, imenipita [emoji16]
Unaakili zaid ya WWF[emoji83]WWF wakafie mbali!.
P
Wazungu wehu wanyama wao na viumbe walivimaliza vyote kwa kuharibu mazingira kwao hawawezi kuja kutuamulia kwetu tuna Uhuru wa kufanya chochote kwenye ardhi yetu kama wao walivyofanya kwao bila kuingilwa Leo hawana mbuga za maana wakati zilikuwepoEnvironmental imperialism
The same applies na wale wanaopinga project ya Barabara Serengeti
HQ zao huku ziko Nairobi Kenya
Go figure
Kweli kabisa mkuuTunahitaji umeme.
WWF au UN wakafuge wanyama na ecology systems pale Washington DC au Brussels.
Mbona, Trump kajiondoa kwenye mkataba wa Climate Change Summit uliofanyikia Paris!?
Waache upoyoyo.
Sio kila sehemu ubishi huo mradi wa umeme ni muhimu kwa Taifa kuliko ecology iliyopo!..Unaakili zaid ya WWF[emoji83]
Kweli wazo zuri, hizo hela zikiongezewa kwenye mradi wa ges, nadhani tutakuwa mbali zaidi na hili ttzo kuliko kuanza huo mwingineMimi ninaomba kwanza kuambiwa ule umeme tuliominishwa wa gas kwamba ukianza tatizo la umeme Tanzania litakuw historia umefikia wapi. Wakati wa JK hela nyingi ziliingizwa kwenye bomba la gas na ikasemekana kwamba huo ndio muarubaini wa tatizo letu la nishati, na wakaenda mbali mpaka kusema itakuwa muafaka wa nishati majumbani. Naomba tusiwe wajinga, tujiulize kipi kimeshindikana kwenye umeme wa gas, mpaka turukie kwenye mradi mwingine wa stiegler gorge. Nimemsikia rais akisema mradi huo utagharibu zaidi ya 3tr, sasa hizo 3t haziwezi kwenda kupanua hapo kwenye mkwamo wa gas na huko kihansi tukangoja vizazi vijavyo zikatumia?
Tunahitaji maelezo ya kina kuhusu nini kinaendelea kwenye umeme wa gas kwani hatuoni debe kama wakati wa Kikwete. Halafu wakati huu wa Magufuli hilo la gas haliongelewi ambalo utekelezaji wake umeshaanza, kisha tunaona debe la nguvu likipigwa kuhusu stiegler gorge. Kwa kweli tunachanganyikiwa maana viongozi wetu wamekuwa wakituingiza kwenye miradi ambayo wakitoka anayekuja anaitekeleza bila muendelezo. Waelewa wa hili suala tunaomba maelezo pls.
CC: paskali Mayalla, mlau
Wanaona huku kwetu ndo pakufugia wanyama huku wao wanaishi vizuriWazungu wehu wanyama wao na viumbe walivimaliza vyote kwa kuharibu mazingira kwao hawawezi kuja kutuamulia kwetu tuna Uhuru wa kufanya chochote kwenye ardhi yetu kama wao walivyofanya kwao bila kuingilwa na Leo hawana mbuga za maana wakati zilikuwepo
Mkuu umenivunja mbavu kwa kucheka.You are real a great thinker na una IQ kubwa mno.Wamegeuza bara la Afrika sehemu ya kufugia wanyama pori wawe wanakuja kuwaona huku.Kwao Afrika ni shamba LA wanyama pori nakubaliana na wewe.Magufuli go ahead usisikilize kelele za sijui kuna vyura adimu watanzania hatuli vyura wala hatuna mpango wa kutalii kuona vyura.Weka umeme achana na porojo za wazungu ambao hata vyura haviko kwaoWanaona huku kwetu ndo pakufugia wanyama huku wao wanaishi vizuri
Vyerehani vi4Haturudi nyuma...energy for development through industrialization
Ha ha ha ha haa kweli kabisa mkuu, hata huku kwetu ukitaka kumuona mnyama wa kufuga utaenda shamba huko, mjini ni kula raha na starehe, sasa wao huku kwetu ndo sehemu waliona ya kufugia.Mkuu umenivunja mbavu kwa kucheka.You are realva great thinker nw una IQ kubwa mno.Wamegeuza bara la Afrika sehemu ya kufugia wanyama pori wawe wanakuja kuwaona huku.Kwao Afrika ni shamba LA wanyama pori nakubaliana na wewe.Magufuli go ahead usisikilize kelele za sijui kuna vyura adimu watanzania hatuli vyura wala hatuna mpango wa kutalii kuona vyura.Weka umeme achana na porojo za wazungu ambao hata vyura haviko kwao