Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Aajajaaaaa
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
usijali mtani siunajua utani [emoji23][emoji23]
mbona si mnatunyanyasaga watani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizi.
Nweiiii
[emoji881] nguvu 1.
Hallah [emoji3590][emoji833]
 
NIlianza kuishabikia wydad casablanca tangu nikiwa mdogo sana kwa sababu nilizaliwa mtaa wa morocco. Kiukweli naipenda sana hii timu bila kuisahau mamelodi.

Basi nitumie muda huu kuitakia ushindi kwenye mechi yao dhidi ya dunduka
 
Tuwajue wachezaji wetu naanza na huyu ,mlengaji hodari kuwahi kutokea Africa anapiga mashuti mfano wa Ballack,Lampard ,Schooled na Steven Gerrard wote kuwa pamoja kisha ufikie levo yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…