Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Isipokua jk na manara senior, wengine ni tabularasas
 
Wydad tumekuja🚶🚶🚶🚶.Sema unachotuitia.
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.

Na wewe simba inakusaidia nini mkuu? Hayo matangazo yanakusaidia nini wewe kama mshabiki!

Wydad 10-0FT
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Mkuu wew ndo ufiche ujinga wako,
Watu wanashabikia timu Kwa ajili ya kupata furaha na Amani ya moyo na ndo maana timu wanazozishabikia zikifungwa wanaumia na kuna wengine Hadi maisha wAmepoteza.
Kuna maana gani yakushabikia timu za ulaya ukiwa unaona hoja yako ni sahihi.
Ficha ujinga wako mkuu
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.

Huyo jamaa ni mjinga, ila naona na wewe pia ni mjinga mwenzake
 

Shabiki wa Wydad tangu 1946 baada ya kuisha vita vya pili vya dunia
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.

My Great great great grand father was from Morroco
 
Tuwajue wachezaji wetu naanza na huyu ,mlengaji hodari kuwahi kutokea Africa anapiga mashuti mfano wa Ballack,Lampard ,Schooled na Steven Gerrard wote kuwa pamoja kisha ufikie levo yake..View attachment 2599247

Unaambiwa katika mashiti yake kumi, Tisa lazima yamchungulie Kipa alafu la kumi huwa linagonga Besela[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…