Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kupata kichekesho hiki tubonyeze ngapi?FT
Wydad Athletic Club 1 : 2 Simba SC
Hamtoamini macho yenu Mbwa nyinyi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata kichekesho hiki tubonyeze ngapi?FT
Wydad Athletic Club 1 : 2 Simba SC
Hamtoamini macho yenu Mbwa nyinyi.
Baada ya game kuisha kauli ya social media itakuwaKupata kichekesho hiki tubonyeze ngapi?
Unaota we dadaFT
Wydad Athletic Club 1 : 2 Simba SC
Hamtoamini macho yenu Mbwa nyinyi.
Sawa mkuu kila la heriBaada ya game kuisha kauli ya social media itakuwa
" Simba SC ni wachawi".
Hahahaaa. Huu uzi Special wa kuwakerrraa. 🤣🤣usijali mtani siunajua utani [emoji23][emoji23]
mbona si mnatunyanyasaga watani
Ukiiangalia avatar yako kuna muda inafungua kamdomo. Lazima njia ya kutokea ipatikaneSioni pa kutokea simba
Kabisa Mkuu. 😂😂😂Tujiorganize tuunde tawi letu la WydadTzFans.
🤣🤣🤣NIlianza kuishabikia wydad casablanca tangu nikiwa mdogo sana kwa sababu nilizaliwa mtaa wa morocco. Kiukweli naipenda sana hii timu bila kuisahau mamelodi.
Basi nitumie muda huu kuitakia ushindi kwenye mechi yao dhidi ya dunduka
Kama utabahatika kuenda utaniwakilisha vyema na mim mkuu[emoji23]Kwa vile kuna michongo naisikilizia ikitiki naona mtoto wa Morocco halafu hata hapa Dar sehemu yangu pendwa ni Morocco hivyo nina kipa sababu ya kushabikia Wydad.
Msenge wewe unamwita nani dada..?Unaota we dada
afu sisi waarabu huwa tunaangaliaga mpira huku tukila tende/harua tukisukumizia na maziwa,hatuli popcorn sie tukitakaga kumkanda mtu yakheWaaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
Wachaa wee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wydad 17-0[emoji190]
Nime screenshot mtaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Shadeeya binti Yahaya Jibrane mdogo wake Bouly Junior Sambou nasemaje Mikia waje na Kapu tunawasubiri. [emoji1787]
Hapana tuwe na huruma me nawapa 8 -0Wydad 17-0[emoji190]