Tetesi: Wydad Casablanca wamrudia Clement Mzize, Ofa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2, na Masharti Magumu

Kama ndo huyu alicheza juzi match ya stars na Ethopia wamtoe tu hata bure ikiwezekana.
 
Akili za yanga wanazijua wenyewe. Juzi nilimuona akicheza na Ethiopia aibu nilikuwa naona mm
 
Wydad washoboke na mzize! Acheni ujinga wenu hapa hivyo vichekesho vyenu pelekeni Cheka TU.
 
Ally Kamwe bana.
 
Kwahiyo Yanga ndio wanao report kuwa Wydad wanamuhitaji Mzize? Mbona akili za kufikiria hamna?
Hivi wewe unajidanganya kuwa Wydad wanaweza kumlilia Mzize kiasi hicho? Hizo ni Propaganda za kumkuza Mzize na hazina ukwel wowote.
 
Hivi wewe unajidanganya kuwa Wydad wanaweza kumlilia Mzize kiasi hicho? Hizo ni Propaganda za kumkuza Mzize na hazina ukwel wowote.
Mzize awekewe propaganda za kukuzwa ili iweje?
 
Tangu Azizi na Hamisa wavalishane jezi Mambo ya tetesi za wachezaji wa Yanga si ya kutilia maanani sana unless ni official statement kutoka Club husika. Kuna maigizo mno na waigizaji wapo hadi wa kimataifa. Club ikizungumza kuhusu hilo sawa.
 
Kwa uchawi uliopo Yanga huyo Mzize anaweza kupotea ghafla akaja kujitokeza Wydad wakiwa wameghairi.
Case Study: Mrisho Ngasa na club kutoka Sudan.
Maskini roho mbaya ya viongoz watamnyima na hio itamvunja sana moyo, ndio mana jana hakucheza vyema ana mawazo tele
Yanga SC club ya vibwengo mdundiko watafanya wivu
Tetesi kidogo watu mmeshavaa khanga na kuanza kusuta kwa maneno kama yote
 
Tangu Azizi na Hamisa wavalishane jezi Mambo ya tetesi za wachezaji wa Yanga si ya kutilia maanani sana unless ni official statement kutoka Club husika. Kuna maigizo mno na waigizaji wapo hadi wa kimataifa. Club ikizungumza kuhusu hilo sawa.
Hilo tukio ni upumbavu wa Manara na likamng'oa mazima. Swala la Azizi Ki kutakiwa na vilabu vya nje mbona lilikuwa wazi hasa hasa Belouizdad walionesha wapo serious naye. Mchezaji kutakiwa ni swala moja na mchezaji mwenyewe au klabu kukubali kufanya dili ni swala lingine.
 
Kutakiwa kupo. Ila kuna tetesi ambazo zina ukweli na zisizo za ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…