JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Msimamo ulivyo baada ya mechi za kwanza kwa timu zote za Group B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hayo tena matokeo ya Galaxy mi matumaini yameisha[emoji23][emoji23][emoji23] hili kundi ni motoo,
Panga pangua Simba anaenda Robo.
Nyie si mnasemaga mna uzoefu na hatua hizi na lengo lenu msimu huu nusu.Wydad amefungwa kwao goli 1 na Jwaneng Galaxy , wakuu kila nikiwaza naona mahesabu ya Simba kuvuka kwenda robo inagoma,kama Galaxy ya kumfunga Wydad kwao basi hili kundi ipo ngumu,Simba wakienda kule watamaliziwa hasira zote, kwenye hili kundi dah ...sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa hii timu tuliyonayo sahivi,underdog tunaowategemea kuchukua points wao ndo wanakusanyaNyie si mnasemaga mna uzoefu na hatua hizi na lengo lenu msimu huu nusu.
Hii inaonyesha hilo group nalo ni gumu pia.Wydad amefungwa kwao goli 1 na Jwaneng Galaxy goli 1 , wakuu kila nikiwaza naona mahesabu ya Simba kuvuka kwenda robo inagoma,kama Galaxy ya kumfunga Wydad kwao basi hili kundi ipo,Simba wakienda kule watamaliziwa hasira zote, kwenye hili kundi dah ...sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeh wazee wa uzoefu, uzuri JF haisahau tutakukumbusha comment yako tunayo.[emoji23][emoji23][emoji23] hili kundi ni motoo,
Panga pangua Simba anaenda Robo.
Wa moto wapii.mpira una matokeo ya kushangaza tu.ila wa kawaida sana.Wenyewe wamesema wana uzoefu wa michuano hii kwa hiyo hawa ogopi.
Kuna baadhi ya mashabiki leo wakawa wanajipa moyo Galaxy wanapiga nje ndani, kumbe Galaxy mwenyewe nae wa moto.
Ukiangalia kwa wachezaji waliokuwa nao Simba inaweza kubadilika kwenye games zinazofuata? Maana naona haipo vizuri halafu itawezekana mabadiliko within short time na kocha ni mpya hadi falsafa yake ifanye kazi si itachukua mda kidogo,maana naona mfumo wa uchezaji wa Simba umebomolewa na makocha waliopitaHii inaonyesha hilo group nalo ni gumu pia.
Wydad kafungwa nyumbani, lakini Simba hajafungwa nyumbani.
Jwaneng anaweza akashindwa kumfunga Simba nyumbani vile vile kama alivyomfunga Wydad.
Hizi ni mechi za awali. Mwisho wa siku timu bora ndo zitaenda hatua ya mtoano.
Wenyewe wamesema wana uzoefu wa michuano hii kwa hiyo hawa ogopi.
Kuna baadhi ya mashabiki leo wakawa wanajipa moyo Galaxy wanapiga nje ndani, kumbe Galaxy mwenyewe nae wa moto.
Simba mechi zake naona draw zitakuwa nyingiKwa jinsi Simba inavyocheza, ni ngumu sana kuwazuia Galaxy nyumbani kwake asipate point 3. Hili kundi kwa haraka haraka kama Galaxy atapata point 3 dhidi ya Simba, atakuwa na point 6... Nawapa Galaxy na Wydad nafasi ya kusonga mbele.
Wewe kwa timu yako unacheza kama umetoka kulala,halafu ukapewa kiporo cha pilau sioni. Timu cleansheet inapata kwa binde na msinu huu hazizidi tatu ktk michuano yote.Wa moto wapii.mpira una matokeo ya kushangaza tu.ila wa kawaida sana.
Kunguru kumnyea mtu sio shabaha ni bahati tu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app