mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ANGALIA simba wametokq kumfukuza kocha,kama kocha mpya.ni suala la kujipanga tu,nadhani mngejitafakari kwanza ninyi mliokula 3-0 muone mnaelekea wapi.kuliko kumjadili mtu aliyetoa suluhuWewe kwa timu yako unacheza kama umetoka kulala,halafu ukapewa kiporo cha pilau sioni. Timu cleansheet inapata kwa binde na msinu huu hazizidi tatu ktk michuano yote.
Halafu mwenzako kwa matokeo ya leo kishaboost confidence, ambayo ww ulishaipoteza tokea ulivyopiga tano, yaani hata wachezaji akili zao hazipo uwajani. Confidence ni mchezaji wa kumi na mbili.